Mmmhhh Hamisa ashakwanguliwa na le mutuz mabwakuuu
Wewe acha tu,nasikia alimpa 0713 akasema aliumia balaaa....
Wewe acha tu,nasikia alimpa 0713 akasema aliumia balaaa....
Hhhhhaaaaaaa yaan akayasema hayoooo. Kwelii Hamisa ni noumaaaaa
Hamisa alitoa tigo!!balaa.
warumi umemsahau Mariam, staa mwingine aliyekuwa na mahusiano nae wakaachana sa ivi yupo na UwoyaSTAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.
Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha kufanya ujana ambacho tayari ameshakipitia na sasa ni muda wa yeye kutengeneza familia.
Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke maana nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote, alisema Wolper pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.
Wolper amewahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa akiwemo Mohamed Mtoro Dalas ambaye alimbadilisha dini ili waweze kufunga ndoa lakini ikaota mbawa.
Hamisa alitoa tigo!!balaa.
lolowapi yupo anafanya mipango ya kumuoa wema awe bimdogo atakuja tu baadaee
Halaf unasema kwa watu.loo ni sawa na yule alieliwa tigo akaenda kuongea hadi clouds
Chezea ule mjengo uliowekwa insta leo???tutazika mtu nakuambia
wanawake wengine mapunguani kwakweli.
Wako wengi,umemsoma le mutuz kwenye topic ya bikra wa kisukuma?huyu baba nae mashaka mengi!
Ngoja nikimbieko nikaoneee
Jamani Menina ni habari ya mjiniii mutoto keshatundikwa mimba tayariii
Wapiii Wema ulikua ushaanza kuonesha shela ya kuvaa uwanja wa Taifa kwiiiii kwiiiii qn of sheba Njoo basiii bila kumsahau Mrembo by Nature