Jackline wolper: Natamani kuolewa

Jackline wolper: Natamani kuolewa

STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha kufanya ujana ambacho tayari ameshakipitia na sasa ni muda wa yeye kutengeneza familia.

“Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke maana nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote,” alisema Wolper pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.

Wolper amewahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa akiwemo Mohamed Mtoro ‘ Dalas ’ ambaye alimbadilisha dini ili waweze kufunga ndoa lakini ikaota mbawa.
warumi umemsahau Mariam, staa mwingine aliyekuwa na mahusiano nae wakaachana sa ivi yupo na Uwoya
 
Last edited by a moderator:
Amekumbuka shuka kumekucha nani akabebe zigo hilo wiz khalifa kalishindwa ndo matokeo ya kula mibange ukazani unaweza kufuga jibwa
 
Ngoja nikimbieko nikaoneee

Kuna gazeti wameandika wema amwaga chozi hadharani,mama wema mama dimond waombwa kuingilia kati,wahofia wema kupata ugonjwa uliomuua kuambiana.sijalisoma wala sijanunua magazeti ya udaku samtaim yanaandika uongo.
 
Back
Top Bottom