"ujana hale na nani uzeee tule wote"
Kuna gazeti wameandika wema amwaga chozi hadharani,mama wema mama dimond waombwa kuingilia kati,wahofia wema kupata ugonjwa uliomuua kuambiana.sijalisoma wala sijanunua magazeti ya udaku samtaim yanaandika uongo.
Ni shidaaaa tusubiri mwisho wakee tuuoneee hivi warumi ndio kaenda kimoja au???
Chezea chama cha kina Mandigo weyeeee
Mbona ya kawaida tu ngoja nikamtafute huyu lolowapii nimpe nakoz 6 hiv akili zimkaee,
Hana jipya pochi ya madame haina kitu,hapo alipo hana hata vocha ataingiaje humu?
Bi shost anataka ndoa, na kusagana kaacha au?
warumi umemsahau Mariam, staa mwingine aliyekuwa na mahusiano nae wakaachana sa ivi yupo na Uwoya
Calisah mwenyew ana nini yule? Serengeti boy
Ni shidaaaa tusubiri mwisho wakee tuuoneee hivi warumi ndio kaenda kimoja au???
Bi shost anataka ndoa, na kusagana kaacha au?