hata chesco muuza matunda , mtuma salaamu redioni ni star so usishangae saaaanaHivi huyu Dalas ni star wa nini? Mimi najua star ni yule anayefanya shughuli za burudani au michezo akapata mashabiki wengi.
hata chesco muuza matunda , mtuma salaamu redioni ni star so usishangae saaaana
hata chesco muuza matunda , mtuma salaamu redioni ni star so usishangae saaaana
"ujana hale na nani uzeee tule wote"
Uwoya nae ni blenda???
Nyie nao thread za Wolper mnaanza Wema, Mithread kibao ya Wema
si mkakoment kule..
Back to Topic:yule kijana wake siku hizi si anatoka na Jokate au
kapata mwingine wa kumuoa na haya mambo ya kubadili dini kisa mwanaume
sio kabisa madhara ndio hayo.......bora ubadili kwa hiari yako tu mwenyewe
Kitambo sana ndo wananyang'anyana huyo mariam na wolper afu huyo demu anawapiga kishenzi
Ngoja nikimbieko nikaoneee
ukianza shurti ujue kumaliza
Kitambo sana ndo wananyang'anyana huyo mariam na wolper afu huyo demu anawapiga kishenzi
Kunani tena binamu
Mbona ya kawaida tu ngoja nikamtafute huyu lolowapii nimpe nakoz 6 hiv akili zimkaee,
Ni habari nyinginee umeona kalivyojaa sio wema miguu hana Heloo njoo naponda madame wakoo