Jackline wolper: Natamani kuolewa

Jackline wolper: Natamani kuolewa

Hivi huyu Dalas ni star wa nini? Mimi najua star ni yule anayefanya shughuli za burudani au michezo akapata mashabiki wengi.
hata chesco muuza matunda , mtuma salaamu redioni ni star so usishangae saaaana
 
Nyie nao thread za Wolper mnaanza Wema, Mithread kibao ya Wema
si mkakoment kule..

Back to Topic:yule kijana wake siku hizi si anatoka na Jokate au
kapata mwingine wa kumuoa na haya mambo ya kubadili dini kisa mwanaume
sio kabisa madhara ndio hayo.......bora ubadili kwa hiari yako tu mwenyewe

Mahaba ndo yanasababisha mtu kubadili dini hahahah
 
Wew mdada umenifanya niwe napita jukwa hiii.....mme tisha

Unazimika na swagaaaa eee zinakupa rahaaaaa pamoko sanaaaa
Hamia kabisa hili jukwaa huku umbea,udaku basiiii mengjne acha nyumbani au siyo warumii
 
Last edited by a moderator:
Ni habari nyinginee umeona kalivyojaa sio wema miguu hana Heloo njoo naponda madame wakoo

Mtoto mashallah...huko nyuma kajiny.eaa....

Diamond awe makini na Wema, yule kashakuwa concord, ukute anataka ndoa ya kuringishia kama Lucy Komba....
Ndoa sio sherehe ya harusi ya siku moja....

Kama Diamond unasoma hapa hebu jifunze kwa Mrisho Ngassa....mke yuko mahakamani anataka wagawane pasu kwa pasuu....

Sasa we jishaue kumuoa huyo mpenda show off siku mbili akudai talaka mgawane......mjini hakuna kuoneana hurumaa....!

Bora hata umuoe Didaaaa.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom