Jackline wolper: Natamani kuolewa

Jackline wolper: Natamani kuolewa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha kufanya ujana ambacho tayari ameshakipitia na sasa ni muda wa yeye kutengeneza familia.

"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke maana nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote," alisema Wolper pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.

Wolper amewahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa akiwemo Mohamed Mtoro ' Dalas ' ambaye alimbadilisha dini ili waweze kufunga ndoa lakini ikaota mbawa.
 
Jamani Menina ni habari ya mjiniii mutoto keshatundikwa mimba tayariii
Wapiii Wema ulikua ushaanza kuonesha shela ya kuvaa uwanja wa Taifa kwiiiii kwiiiii qn of sheba Njoo basiii bila kumsahau Mrembo by Nature
 
Last edited by a moderator:

Jamani mbona Menina kakataa!! Ingia kwenye udaku usome,mbona hizi habari tata.
 
Hahahahh ndio maana shela la kipaimara la lucy limewatoa roho, kumbe walikuwa wanatamani kuvaa hata shera la komunio ila wapi manina, na watatamani sana mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahh ndio maana shela la kipaimara la lucy limewatoa roho, kumbe walikuwa wanatamani kuvaa hata shera la komunio ila wapi manina, na watatamani sana mwaka huu

Heri yake Lucy keshatoa gundu tayari la kutozeekea home
 
Nani amuoe huyo keshaota mapembe huyo hafugiki!!!
 
Unakumbuka Lulu alikana hana mahusiano na Kanumba????

Nakumbuka sana,Mungu akaamua kuwaumbua.Haya maisha rafiki yangu acha tu! Sijui wema anajisikiaje?maana mapenzi yanaumiza vibaya,mi nilitendwa vibaya nisingekuwa na roho ngumu ningejiua na mpaka leo mi mwanaume simpendi mpaka rohoni wala simuamini.
 
Nyie nao thread za Wolper mnaanza Wema, Mithread kibao ya Wema
si mkakoment kule..

Back to Topic:yule kijana wake siku hizi si anatoka na Jokate au
kapata mwingine wa kumuoa na haya mambo ya kubadili dini kisa mwanaume
sio kabisa madhara ndio hayo.......bora ubadili kwa hiari yako tu mwenyewe
 
Ana uhakika ameshajua kusafisha papuchi???yasijetokea yale ya Dallas ndoa ikaota mapembe...
 
Acha povu nawewe kwani umekula omo?? Haya kijana wake yupi tena?

Anaitwa callisah,ni modo flani hivi...alikua na mwanamke mwingine kamuacha karudi kwa wolper..dada wa watu aliumia kama nini masikini!!!
 
Jamani mbona Menina kakataa!! Ingia kwenye udaku usome,mbona hizi habari tata.

Una uhakika gani kama kasema kweli???hizi habari za kusikia wala tusiziamini....muda utatuambia
 
Back
Top Bottom