Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kuna best yangu mmoja ivi nilienda kumuona muhimbil kajifungua kwa operation, nikamuuliza ulikuwa mvivu ku push nin au mambo ya matumizi ya tigo, akaniambia best wee acha tu , nina nyonga ya kiume mwenzio ngumu kiama siwez kumanua vizur, binamu nilicheka sana dah
Hhhhaa we bina nooma nimekusakaaajeeeee loo