ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukawa wala siwaflag hata kidogo,kama Ccm nao navyowadisi siku lowasa akibeba nchi nahama nchi hii naenda kuishi bora hata ulaya vijijini ulaya nako si kuna vijiji wazee?au..?
Duh! Yaani umeuleta watu waliojimwaga hapa wafanye nini?siasa na wana siasa ni zaidi ya tuwajuavyoLeo hii amehama imekuwa nongwa. Wajameni acheni hizo siasa zenu za majitaka.
Ndio ilivyo kwa sasa.Hehe angekuwa CCM ingekuwa nongwa na tungesikia kuwa ni msaliti,...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli huyu ndo kamanda
Alikua hero alipokua upande ule..,kwa sasa anaonekana ni msaliti na matusi kibao lakini wamesahau kua walishamuita Kamanda jasiriSasa hivi katukanwa nyuchi yake hadi huruma, kisaa siasa, wakati alikuwa hero.
Bongo balaa