ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukawa wala siwaflag hata kidogo,kama Ccm nao navyowadisi siku lowasa akibeba nchi nahama nchi hii naenda kuishi bora hata ulaya vijijini ulaya nako si kuna vijiji wazee?au..?
Me nakula dry sana siku hizi,vp wewe zako ni mixer kali nene
Kama upo dar ni pm tukutane sehemu tunuse majani