Jackson Benty yuko wapi siku hizi?

Jackson Benty yuko wapi siku hizi?

Yupo Arusha na bado anaimba, sema hayuko kwenye media sana
 
walioko arusha wafuatiliaji wa nyimbo za kumtukuza MUNGU..watudokeze..alikuwa arusha miaka kadhaa ilopita
 
Ata leo nimewasiliana nae, anaimba hapo kanisani ambalo ni Branch ya Gwajima, Ipo chini ya mchungaji frank Andrew
 
ana wimbo wake unaitwa umenifanyia njia.. kama unao nirushie tafadhali.
 
Back
Top Bottom