Jackson Benty yuko wapi siku hizi?

Jackson Benty yuko wapi siku hizi?

Nasikia amefiwa na mke wake. Mungu awe faraja kwake na watoto wao na ndugu wao wa karibu na wapenzi wote na mziki wao. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.
Ooh masikini Winnie Benty amefariki lini?
 
pole sana Benty kwa msiba mzito. Mungu akufunge mshipi wa faraja na akufute machozi
 
Nimepata taarifa jana. Pengine ni jana hiyo sikupata nafasi ya kuuliza vizuri. Inasemekana aligongwa na gari barabarani kwa taarifa zisizo rasmi.
Ni kweli mke wa Jackson Benty amegongwa na Gari akiwa kwenye boda boda na kufariki, Mungu amlaze mahari pema peponi.
 
Benty anaishi Arusha na amefiwa na Mke wake na nafikiri mazishi yalikuwa leo hii.
 
So sad. Pole sana mtumishi. Mungu akutie nguvu. May her soul rest in eternal peace.
 
Aisee habari zenu. Nimevutiwa sana na habari ya kuulia Jackson benty. Kuna nyimbo zake ninahitaji kama kuna mtu anaweza nirushia.
 
Maskini pole kwa kufiwa na mkewe bodaboda noma sana hasa barabara kubwa
 
Back
Top Bottom