Oooh my God!! Pole sana Jackson Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Nasikia amefiwa na mke wake. Mungu awe faraja kwake na watoto wao na ndugu wao wa karibu na wapenzi wote na mziki wao. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.
Nikweli bwana wewe ni mkuuu ~ [emoji445][emoji445]" nimekupenda bure Heaven SentBaba yangu uliye mbinguni naomba unigange roho.
Eeh kumbe amefiwa maskini!!! Mungu azidi kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu.Nikweli bwana wewe ni mkuuu ~ [emoji445][emoji445]" nimekupenda bure Heaven Sent
Ooh masikini Winnie Benty amefariki lini?Nasikia amefiwa na mke wake. Mungu awe faraja kwake na watoto wao na ndugu wao wa karibu na wapenzi wote na mziki wao. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe.
Nimepata taarifa jana. Pengine ni jana hiyo sikupata nafasi ya kuuliza vizuri. Inasemekana aligongwa na gari barabarani kwa taarifa zisizo rasmi.Ooh masikini Winnie Benty amefariki lini?
Kwanini asikuoe wewe?Amuoe mke wa Sedekia kama bado hajaolewa...
Nimeshindwa hata nikujibu nini...!Kwanini asikuoe wewe?
Ni kweli mke wa Jackson Benty amegongwa na Gari akiwa kwenye boda boda na kufariki, Mungu amlaze mahari pema peponi.Nimepata taarifa jana. Pengine ni jana hiyo sikupata nafasi ya kuuliza vizuri. Inasemekana aligongwa na gari barabarani kwa taarifa zisizo rasmi.
Halafu ili iweje, kwa nini umemuwazia mke wa sedekia?Nimeshindwa hata nikujibu nini...!
I did not quote you, I just said it as a suggestion.
Hujapenda? Pole.Halafu ili iweje, kwa nini umemuwazia mke wa sedekia?