GE2025 Jackson Lupanda atia nia kuwania jimbo la Ulyankulu, Tabora

GE2025 Jackson Lupanda atia nia kuwania jimbo la Ulyankulu, Tabora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Jackson Lupanda Maarufu kama Lupanda_Hd Slomo Master Kutoka Azam media Limited ametia nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.
1751435552584.png

Pia soma

 
Back
Top Bottom