BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake
Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea mazingira ya kutoa Rushwa bila mwenyewe kujua
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea mazingira ya kutoa Rushwa bila mwenyewe kujua
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces