Jackson Mmbando-afisa uhusiano wa Tigo

Rwey

Senior Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
121
Reaction score
23
nasikia kaondolewa katika kampun ya tigo, ni kweli
 
Vyovyote vile iwe kafukuzwa au kaacha kazi cha msingi fahamu kwamba YUKO Airtel in the same capacity
 
..Habari ndio hio


Jackson Mmbando (pichani kushoto akigawa misaada siku yake ya kwanza kazini Jumatatu hii) kwa kupata nafasi ya kupiga mzigo Airtel Tanzania kama bosi wa Mahusiano wa kampuni hiyo ya simu za mikononi.
 
Kwanini tigo inapoteza wafanyakaz wake alianza Kelvin Twisa na sasa jackson!! Whyyyy!
 
Mmmh!
Labda masilahi kafuata.
 
Nadhani maslai anatafuta maana masiha bila maslai hayaendi, unaangalia wapi kunalipa
 
Tigo wanafanya ubahili huku wanapoteza wafanyakazi wa maana!
 
Dogo huyu yuko fit kishenzi, Ameipaisha tigo hadi Makampuni mengine ya simu yakanywea!! Ni mbunifu na anajua kazi yake sawa sawa,Namfagilia kwani kila mwenye simu mbili moja ni Tigo.Hapo kaingia Airtel iliyokuwa inasinzia sasa hivi itaamka.Bid Up kijana Chapa kazi,Wanafunzi nchi nzima wanakufagilia KEEP IT UP DOGO.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa... hebu leta takwimu aisee muzee ya kiluvya
 
Katika mlolongo huu huu, nauliza mdogo wetu Mafuru wa Vodacom siku hizi mbona kimya sana, au naye kahama kutoka Vodacom? Kahamia wapi?
 
Mkuu Mafuru kala shavu babu kubwa Mkurugenzi wa masoko Diageo aka Serengeti Breweries Tbl kaazi mnayo.....
 
Katika mlolongo huu huu, nauliza mdogo wetu Mafuru wa Vodacom siku hizi mbona kimya sana, au naye kahama kutoka Vodacom? Kahamia wapi?

Mafuru kaula bana nasikia kakamata Ukurugenzi wa Masoko diageo aka Serengeti Brew
 
Mambo yenu, Jackson yuko Airtel and ofcourse mtu unaangalia maslahi.. ni kweli kwamba kweli aliinua Tigo.. sasa inabidi wampate mtu ambaye ataweza kuifanya kama alivofanya ngoja tuone Airtel na wenyewe although wa strategy tufauti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…