Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini tigo inapoteza wafanyakaz wake alianza Kelvin Twisa na sasa jackson!! Whyyyy!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa... hebu leta takwimu aisee muzee ya kiluvyaDogo huyu yuko fit kishenzi, Ameipaisha tigo hadi Makampuni mengine ya simu yakanywea!! Ni mbunifu na anajua kazi yake sawa sawa,Namfagilia kwani kila mwenye simu mbili moja ni Tigo.Hapo kaingia Airtel iliyokuwa inasinzia sasa hivi itaamka.Bid Up kijana Chapa kazi,Wanafunzi nchi nzima wanakufagilia KEEP IT UP DOGO.
Ni globalization mkuuKwanini tigo inapoteza wafanyakaz wake alianza Kelvin Twisa na sasa jackson!! Whyyyy!
alihamia zain miaka kama 2 iliyopita, kwasasa ndo Airtel.Kelvin Twisa ameenda kampuni gani?
Katika mlolongo huu huu, nauliza mdogo wetu Mafuru wa Vodacom siku hizi mbona kimya sana, au naye kahama kutoka Vodacom? Kahamia wapi?