Jackson wa Oysterbay Polisi, atambuliwa kwenye CCTV footage ya utekaji wa Kijana Kariakoo

Jackson wa Oysterbay Polisi, atambuliwa kwenye CCTV footage ya utekaji wa Kijana Kariakoo
Duuh,
Anayemjua huyo mtekaji Jackson amwambie dili lake limebuma.
Arudishe pesa ya waliomtuma, amrejeshe kijana chap
 
Kwakua footage imeonekana policcm watasema alikua ana "makosa ya jinai"

Isingeonekana wangesema "wanafuatilia kwa ukaribu habari waliyoiona mitandao ya kijamii"

Watekaji wanajulikana na nilishasema jinsi ya kukomesha hili suala humu mara nyingi nini kifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…