Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter


Aaaah aaah povu vepeee?
 
Kuna msiba mmoja nilihudhuria mama akimzika mwanae. Alikua analia hadi machozi yakakauka ikabaki sauti tu ya kulalama. Yawezekana Jack akawa amefanya au hajafanya (hili analijua Mungu na labda mahakama itatujulisha pia) ila hii haiondoi ukweli kuwa yule ni baba wa watoto wake na mwanaume aliyeishi nae kwa miaka yote hii. Hivyo kusema kuwa haijamuuma inakuwa unakosea yaani hata kama yeye ndo angekuwa ni mtendaji
 
Nimesikitika pia kwa hili la Madame Ritha
 
Hizo ndevu ameiga kwa Wakongoman Rais Kabila alikuwa anafuga, Koffi Olomide, Wazekwa na matajiri wengi tu wa Congo maana yake papaa mutu ya pesa/mbongo mutu muzito usidhani zinafugwa tu hiz ndevu.

Nashukuru umesema maana nilitaka kulisema hili nikaona nizidi kusoma comment kwanza
 
Nashukuru umesema maana nilitaka kulisema hili nikaona nizidi kusoma comment kwanza
Hizo ndevu nchi zinazoongea kifaransa mapaa ndo staili yao. Mzee Mengi naye alitaka kuonekana wa kisasa kwahiyo wasisingizie hizo ndevu, hata Mbowe alipotoka Lumande alizifuga mbunge wa Rombo Joseph Selasini amefuga
 
Kabuni umbea mpya, huu umecopy kwa mange naona leo swaumu kali.
 
Yule mwanamke mzee aliingia cha kike na ndio hasara ya kuacha wake uliochuma nao mali unakimbilia madanga, yaani binti alikuwa pale kwa ajili ya njaa tu na sio mapenzi, ni binti gani atoke na mtu aliyemzidi miaaka 35 kama sio utapeli tu

Alafu siku ile jeneza linaingia kaburini ndio ilithibitisha jacky the way alivyo, jamani msiache wake zenu mliochuma nao
 
Hivi jacky alitakiwa akarukie jeneza lisiingizwe kaburini?
 
Kufuga ndevu nyeupe ni kujiandaa kufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…