Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

Ww inakuuma nn au inakuhusu nn???mbona mnawashwa washwa wanawake kuhusu huyu dada.Tafuten vya kwenu acheni wivu.Pambaneni na hali zenu.
Et hana uchungu na kifo cha mumewe ?kama nyie ndio wenye uchungu zaid si mwende leba mkazae wapuuzi nyie!!utadhan mnavipima uchungu kwenye macho yenu pumbavu nyie

Aaaah aaah povu vepeee?
 
Kuna msiba mmoja nilihudhuria mama akimzika mwanae. Alikua analia hadi machozi yakakauka ikabaki sauti tu ya kulalama. Yawezekana Jack akawa amefanya au hajafanya (hili analijua Mungu na labda mahakama itatujulisha pia) ila hii haiondoi ukweli kuwa yule ni baba wa watoto wake na mwanaume aliyeishi nae kwa miaka yote hii. Hivyo kusema kuwa haijamuuma inakuwa unakosea yaani hata kama yeye ndo angekuwa ni mtendaji
 
Nimesikitika pia kwa hili la Madame Ritha
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and also the ex of reg mengi.

Jacky pia we are told alihusika kikamilifu katika kumfilisi Emelda mwamanga wa Bang magazine , we all know the story of emelda

And most shockingly , two weeks before the death of mengi ,Jacky was busy doing media tour to flaunt akitaka kuonyesha Pubilc how deep in love she was with mengi , na Ma song mengi mengi ya Ma love Davi, wanazengo wanakwambia kuwa all drama was choreographed by Jacky to paint a picture kuwa they are so in love while she was in her terrible mission to finish the late mengi of which it was a success .

Jacky, wherever you are , remember that , karma is a very ugly bitch , that comes too fast , no wonder why you never cried when your husband died , wakat wewe ndo ulipaswa kuwa na uchungu kuliko hata wale walemavu na Madam ritha , yan your so called beloved husband anaungizwa kwa kaburi you were just watching as if it's a neighbor funeral , shame on you . Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu .
 
Hizo ndevu ameiga kwa Wakongoman Rais Kabila alikuwa anafuga, Koffi Olomide, Wazekwa na matajiri wengi tu wa Congo maana yake papaa mutu ya pesa/mbongo mutu muzito usidhani zinafugwa tu hiz ndevu.

Nashukuru umesema maana nilitaka kulisema hili nikaona nizidi kusoma comment kwanza
 
Nashukuru umesema maana nilitaka kulisema hili nikaona nizidi kusoma comment kwanza
Hizo ndevu nchi zinazoongea kifaransa mapaa ndo staili yao. Mzee Mengi naye alitaka kuonekana wa kisasa kwahiyo wasisingizie hizo ndevu, hata Mbowe alipotoka Lumande alizifuga mbunge wa Rombo Joseph Selasini amefuga
 
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and also the ex of reg mengi.

Jacky pia we are told alihusika kikamilifu katika kumfilisi Emelda mwamanga wa Bang magazine , we all know the story of emelda

And most shockingly , two weeks before the death of mengi ,Jacky was busy doing media tour to flaunt akitaka kuonyesha Pubilc how deep in love she was with mengi , na Ma song mengi mengi ya Ma love Davi, wanazengo wanakwambia kuwa all drama was choreographed by Jacky to paint a picture kuwa they are so in love while she was in her terrible mission to finish the late mengi of which it was a success .

Jacky, wherever you are , remember that , karma is a very ugly bitch , that comes too fast , no wonder why you never cried when your husband died , wakat wewe ndo ulipaswa kuwa na uchungu kuliko hata wale walemavu na Madam ritha , yan your so called beloved husband anaungizwa kwa kaburi you were just watching as if it's a neighbor funeral , shame on you . Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu .
Kabuni umbea mpya, huu umecopy kwa mange naona leo swaumu kali.
 
Yule mwanamke mzee aliingia cha kike na ndio hasara ya kuacha wake uliochuma nao mali unakimbilia madanga, yaani binti alikuwa pale kwa ajili ya njaa tu na sio mapenzi, ni binti gani atoke na mtu aliyemzidi miaaka 35 kama sio utapeli tu

Alafu siku ile jeneza linaingia kaburini ndio ilithibitisha jacky the way alivyo, jamani msiache wake zenu mliochuma nao
 
Hivi jacky alitakiwa akarukie jeneza lisiingizwe kaburini?
 
Acheni uongo. 'Wataalam wa mambo' tulianza kukiona kifo cha Mengi mapema. Mara baada ya kufariki mke wake, mie mwenyewe nilikuwa mtu wa mwanzo kumshauri akafunge ndoa upya ili kujiandaa na safari yake ya kiroho. Uzi huo ulifutwa wiki mbili tatu baadaye. Nashukuru Mungu Askofu Dr Shoo alituhabarisha kuwa Dr Mengi alifanya hivyo.
Hapa JF pia kuna ule uzi mwingine ambao ulihoji juu ya afya ya Dr Mengi hasa baada ya kuonekana kwenye msiba wa Ruge akiwa aemshaanza 'kuzimika'.
Mengi mwenyewe alitambua kuwa saa yake imekwisha na ndio maana alianza kutoa kauli za mafumbo akisema, bila Jack, huenda angekuwa amekwisha kufa.
Pia Mengi, hivi karibuni alianza kufuga midevu myeupe. Hii ilikuwa ni ishara kuwa ameshakubaliana na hali halisi kuwa amekwisha zeeka na siku zake zimekwisha so wacha tu mimvi ionekane.
Dalili zote za Mengi kuwa siku zake zilikuwa zimekwisha, zilishaanza kuonekana mapema.
Acheni kumuhusisha binti wa watu na kifo hicho ili kumchafulia jina.
Kufuga ndevu nyeupe ni kujiandaa kufaa?
 
Back
Top Bottom