Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

Ahsante mkuu. Sisi binadamu bwana. Yaani kila kukicha wanamtuingia dada wa watu uongo, usipokiki wanatafua mwingine yaani full roho mbaya.

Umesema ukweli maisha ya babu yalishafika ukingoni
 
Udaku wa kuokoteza yani Jack amfilisi Imelda?
 
Wewe jamaa nishakuona mfitini sana sijui hizi roho za kinyama umezaliwa nazo au ni kupitia watu unaoishi nao! You pretend to know the inner circle of peopels' life but you are created with hatred and malicious stories and want to convince every body thats whatever you say is true. Kama una mtimanyongo na dada wa watu mwendee umwambie nini kiko rohoni mwako dhidi yake. Tangu msiba utokee umekuwa ukimshobokea sana huyu dada,mbona hukuandika au kutoa angalizo kabla ya msiba kuonyesha ulimpenda Mzee Mengi? Huu ni unafiki na kama umetumwa haitasaidi lolote. My advice to you MIND YOUR OWN BUSINESS! Mpaka unakera ebo!!!!!
 
Sawa mfuasi wa the_originaleast!! Kaweka kwa kingereza umecopy umekuja kutubwagia hapa
 
Alim
Hizo ndevu ameiga kwa Wakongoman Rais Kabila alikuwa anafuga, Koffi Olomide, Wazekwa na matajiri wengi tu wa Congo maana yake papaa mutu ya pesa/mbongo mutu muzito usidhani zinafugwa tu hiz ndevu.
Alimuiga Mbowe
 
Bullshit,jack anawanyima usingizi kweli
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…