Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Hivi kwa joto la dar Mtu unawezaje kuvaa mkoti hivyo?
 
Hawa wasanii hata siwaamini. Kama siku za nyuma aliwahi kuseama ana watoto zaidi ya 3 anezaa na wanawake tofauti.
 
Pole sana kada wa CCM, why don't you team up with Bashite halafu mkatafuta kwa Gwajima pale????
huwa sielewi mtu anapoleta dhihaka na masikhara kwenye swala la mtu mwingine kukosa mtoto, huyo makonda yes anamapungufu yake na msemeni kwa hayo sio kumdhihaki kwa kukosa mtoto, aliekupa wewe ndo aliemnyima yeye, na hata alipokuwa hakukupa na mkataba kwamba wako wewe wataishi milele na utaendelea kuwapata
 
Siijui familia alimokulia JB, na anavyosema kukosa mtoto hakumpi shida na ana raha zote, nashawishika kuamini kwamba JB hana dada.
 
Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
 
Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
huyo huyo mungu wa gwajima ameshakusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…