Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Acha maneno weka mziki, Gwajima kama mtumishi wa Mungu anasaidia sana watu kupata watoto. Sasa hao makada waende
ndo nakwambia hivi umeshasikika, na hao unaowadhihaki pia Mungu wao amekusikia
 
Kuna watu sijui wana akili gani, yaani unageuza matatizo ya mwenzio kichekesho? Wewe umejaaliwa vyote? Tuache kufuru jamani!! Wewe unayejisifu unazaa kazi yako ni kutia mimba kila binti mjini kama kibeberu cha kijiji halafu unakimbia majukumu ya kutunza watoto. Kuzaa majukumu na mtu kuitwa BABA maana yake ni kuwajibika sio kumwaga zigo lako na kula kona. Kutia mimba pekee hata jogoo anaweza.
 
Mbona nasikiaga alifumaniwaga huyu akatoka mbio. Na mke walikuwa anakamuliwa na mchungaji.mmoja hivi wa kanisa. Mwili wote huo sidhani.kama round zinaenda sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…