nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
kwani kulishawahi kuwepo huko kuadopt!Maisha yamebadilika hakuna kuadopt siku hizi bibie
hasa, mungu hakupi kwa mkatabahuwa sielewi mtu anapoleta dhihaka na masikhara kwenye swala la mtu mwingine kukosa mtoto, huyo makonda yes anamapungufu yake na msemeni kwa hayo sio kumdhihaki kwa kukosa mtoto, aliekupa wewe ndo aliemnyima yeye, na hata alipokuwa hakukupa na mkataba kwamba wako wewe wataishi milele na utaendelea kuwapata
hasa kwenye jamii za kiafrikaMungu ampe Mtoto
Kukosa mtt kinaleta huzun sana
Mimi hapa ndipo hua nashindwa kuwaelewa watu wengi,unakaa mpaka unazeeka huna mtoto kinachofanya usi adopt ni nini?mimi nahisi watu hawa roho mbaya na ubinafsi huwa vinawahusu sana.Tena sio uchukue mtoto ambaye ameshakuwa unaweza uka adopt mtoto ambaye hata kutambaa hajaanza na ukawa na furaha sana kwenye maisha yako.daah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
IVF si mpaka muwe na hizo mbegu!Katika maisha ya sasa si Vyama kuadopt wakati IVF ipo
huo ndio mtazamo wa watanzania walio wengi.Dunia hii bora ukose mali lakini si watoto
Wakati unatafuta watoto.kuna watoto wanatafuta wa kuwaita babadaah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
AmeenMungu atamsaidia
Aisee imenigusa hiiDuh! Kweli Mungu hakupi vyote.....Dunia tunapita.!
tatizo kwa waafrika ndugu hawataelewa hata kidogo, watataka ulee watoto wao, na ukiadopti hawatafurahi ukimchukulia vizuri huyo mtoto wako kuliko wao, na watatatizika sana na watawaza kuliko wewe kuwa ukifa huyo mwanao atakurithi ilihali si damu yako, na wabongo wana hicho kitu wanakiita "damu yako", ndo sababu ya utata wa kuadopt nchi hii unapoanzia. kwa familia zetu na koo zetu wajomba mashangazi na vizazi vyao vyote wataona ni dhulma kumpa huyo mtoto malezi wakati una watoto wa ndugu zakoMimi hapa ndipo hua nashindwa kuwaelewa watu wengi,unakaa mpaka unazeeka huna mtoto kinachofanya usi adopt ni nini?mimi nahisi watu hawa roho mbaya na ubinafsi huwa vinawahusu sana.Tena sio uchukue mtoto ambaye ameshakuwa unaweza uka adopt mtoto ambaye hata kutambaa hajaanza na ukawa na furaha sana kwenye maisha yako.
Nimependa I'd yako , imekaa kimahesabuhesabutehe tehe tehe hamna
Pole sana JB... unategemea mradi wa ngómbe wa maziwa wa mama yako ndo ukutunze....Kwani ni Vibaya yeye kukaa kwa mama yake? Wewe unachoumia yeye kukaa kwao ni nini?
Akili za kimaskini hizi!
Nyie ndio wale ukipata Ka elfu 50 una hama kwenu unaenda kupanga.
You are shallow minded stupid creature.
Wadada wengi wana vimanenomaneno vingi kwa mawifi zao ambao wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto.Maneno hayo hufurika na kumfikia mume mtu (kaka wa hao wadada) kiasi kwamba mume mtu anakosa amani. Bila shaka shostiangu La Mujar hali hii ya mawifi kumsengenya mke wa kaka yao asiyezaa unaifahamu sana na inapotokea hivyo mume hukosa amani na raha.Ndio maana nkasema kama JB hajapata mtoto mpaka sasa na anaishi kwa raha na amani tele, huenda pengine hana wadada!Ivi sisi binadam bhn... Sio kila alichokujalia Mungu wote wamepewa. Hata kama dada anae ndio atafanyaje sasa
Kuna watu humu JF wanajifanya kujua mpaka wanakatisha tamaa. wengine tumepitia hiyo kitu. IVF si ghali kama snowhite alivyoniattack! IVF inasaidia kama mmoja ana matatizo na mwingine au nyote. (Ref: Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko)IVF si mpaka muwe na hizo mbegu!
Ndugu sio wa kuwaendekeza kivile,wao hata ingekuwa ni watoto wa kuzaa mwenyewe lazima watakutenda.tatizo kwa waafrika ndugu hawataelewa hata kidogo, watataka ulee watoto wao, na ukiadopti hawatafurahi ukimchukulia vizuri huyo mtoto wako kuliko wao, na watatatizika sana na watawaza kuliko wewe kuwa ukifa huyo mwanao atakurithi ilihali si damu yako, na wabongo wana hicho kitu wanakiita "damu yako", ndo sababu ya utata wa kuadopt nchi hii unapoanzia. kwa familia zetu na koo zetu wajomba mashangazi na vizazi vyao vyote wataona ni dhulma kumpa huyo mtoto malezi wakati una watoto wa ndugu zako
Nakuelewa sana naisu.... Inaumiza mno lakini hata angeongeaje kama haipo haipo tu.. Na wengine wanachongaga kumbe matatizo ni ya kaka zao. Anyways Mungu atuepushie mbalWadada wengi wana vimanenomaneno vingi kwa mawifi zao ambao wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto.Maneno hayo hufurika na kumfikia mume mtu (kaka wa hao wadada) kiasi kwamba mume mtu anakosa amani. Bila shaka shostiangu La Mujar hali hii ya mawifi kumsengenya mke wa kaka yao asiyezaa unaifahamu sana na inapotokea hivyo mume hukosa amani na raha.Ndio maana nkasema kama JB hajapata mtoto mpaka sasa na anaishi kwa raha na amani tele, huenda pengine hana wadada!