Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Maisha yamebadilika hakuna kuadopt siku hizi bibie
kwani kulishawahi kuwepo huko kuadopt!
kuadopt ni konsept ya kizungu, haijawaji kukubatiwa sana na wabongo wa kawaida, zaidi ya wale wenye mambo ya kizungu
 
huwa sielewi mtu anapoleta dhihaka na masikhara kwenye swala la mtu mwingine kukosa mtoto, huyo makonda yes anamapungufu yake na msemeni kwa hayo sio kumdhihaki kwa kukosa mtoto, aliekupa wewe ndo aliemnyima yeye, na hata alipokuwa hakukupa na mkataba kwamba wako wewe wataishi milele na utaendelea kuwapata
hasa, mungu hakupi kwa mkataba
ulionao wanaweza kuwa na uhai mfupi ama wanaweza kuwa mabogaz tu
 
daah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
Mimi hapa ndipo hua nashindwa kuwaelewa watu wengi,unakaa mpaka unazeeka huna mtoto kinachofanya usi adopt ni nini?mimi nahisi watu hawa roho mbaya na ubinafsi huwa vinawahusu sana.Tena sio uchukue mtoto ambaye ameshakuwa unaweza uka adopt mtoto ambaye hata kutambaa hajaanza na ukawa na furaha sana kwenye maisha yako.
 
tatizo kwa waafrika ndugu hawataelewa hata kidogo, watataka ulee watoto wao, na ukiadopti hawatafurahi ukimchukulia vizuri huyo mtoto wako kuliko wao, na watatatizika sana na watawaza kuliko wewe kuwa ukifa huyo mwanao atakurithi ilihali si damu yako, na wabongo wana hicho kitu wanakiita "damu yako", ndo sababu ya utata wa kuadopt nchi hii unapoanzia. kwa familia zetu na koo zetu wajomba mashangazi na vizazi vyao vyote wataona ni dhulma kumpa huyo mtoto malezi wakati una watoto wa ndugu zako
 
Kwani ni Vibaya yeye kukaa kwa mama yake? Wewe unachoumia yeye kukaa kwao ni nini?

Akili za kimaskini hizi!

Nyie ndio wale ukipata Ka elfu 50 una hama kwenu unaenda kupanga.

You are shallow minded stupid creature.
Pole sana JB... unategemea mradi wa ngómbe wa maziwa wa mama yako ndo ukutunze....
 
lin naweza ungana nawe. niliwahi ishi maeneo jirani alipokuwa amepanga JB (tabata) aisee kuna kiserengeti boy mbavu nene nilisikiaga nikamkula shemeji yetu kwa JB. daha ndoa hizi
Yeah ndio hivyo, aliyetulia hapati aliyetulia mwenzake
 
Ivi sisi binadam bhn... Sio kila alichokujalia Mungu wote wamepewa. Hata kama dada anae ndio atafanyaje sasa
Wadada wengi wana vimanenomaneno vingi kwa mawifi zao ambao wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto.Maneno hayo hufurika na kumfikia mume mtu (kaka wa hao wadada) kiasi kwamba mume mtu anakosa amani. Bila shaka shostiangu La Mujar hali hii ya mawifi kumsengenya mke wa kaka yao asiyezaa unaifahamu sana na inapotokea hivyo mume hukosa amani na raha.Ndio maana nkasema kama JB hajapata mtoto mpaka sasa na anaishi kwa raha na amani tele, huenda pengine hana wadada!
 
tatizo kwa waafrika ndugu hawataelewa hata kidogo, watataka ulee watoto wao, na ukiadopti hawatafurahi ukimchukulia vizuri huyo mtoto wako kuliko wao, na watatatizika sana na watawaza kuliko wewe kuwa ukifa huyo mwanao atakurithi ilihali si damu yako, na wabongo wana hicho kitu wanakiita "damu yako", ndo sababu ya utata wa kuadopt nchi hii unapoanzia. kwa familia zetu na koo zetu wajomba mashangazi na vizazi vyao vyote wataona ni dhulma kumpa huyo mtoto malezi wakati una watoto wa ndugu zako
Ndugu sio wa kuwaendekeza kivile,wao hata ingekuwa ni watoto wa kuzaa mwenyewe lazima watakutenda.
 
Wadada wengi wana vimanenomaneno vingi kwa mawifi zao ambao wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto.Maneno hayo hufurika na kumfikia mume mtu (kaka wa hao wadada) kiasi kwamba mume mtu anakosa amani. Bila shaka shostiangu La Mujar hali hii ya mawifi kumsengenya mke wa kaka yao asiyezaa unaifahamu sana na inapotokea hivyo mume hukosa amani na raha.Ndio maana nkasema kama JB hajapata mtoto mpaka sasa na anaishi kwa raha na amani tele, huenda pengine hana wadada!
Nakuelewa sana naisu.... Inaumiza mno lakini hata angeongeaje kama haipo haipo tu.. Na wengine wanachongaga kumbe matatizo ni ya kaka zao. Anyways Mungu atuepushie mbal
 
Back
Top Bottom