AMBULENSI labda ndio hazijui hospital ni wapi 😂Jack anajichanganya maelezo.
Angalia dakika ya 31 ameulizwa kuhusu Hospital dubai.
Akasema
*mme wangu alidondoka hotelini walikuwa wanatembea, wakapiga reception wakaitiwa Ambulance....
Baadae akasema aliwauliza reception wawaelekeze hospital maana hazijui. Je ambulance inaweza isijue hospital?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea scenarios za Ulaya na USA hapa Tz? Ulishaona wapi hapa Tanzania mbwa akaachiwa Urithi na ikawa hivyo? Ukiona mtu anapiga yowe kwenye mitandao wakati wenzie wako kimya ujue maji yako shingoni! Kwamba kwakuwa watoto wakubwa walipewa shares za Mama yao basi hawana haki ya shares za Baba yao,hapo ndipo penye mtihani,kama unazijua vizuri sheria za mirathi za Tanzania! Yeye apunguze tamaa,haki yake na watoto wake atapata lkn sio kama anavyowish yeye.
Mnaosema huyo mzee alijivunjia heshima kutoka na Jackie angetoka na mwanamke wa umri gani ambae angeweza kuzaa miaka 60?55?45?em jifikirieni yeye mwenyewe ni dhahiri alitaka watoto maana hakuona tumaini kwenye kizazi chake.Hivyo mlaumuni huyo mzee na siyo huyo binti
Namjua na sarakasi za kutoroshwa [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Mengi alivaba!Makiseo, Mimi namjua tokea anasoma forodhani
Mwalimu mkuu wa shule alikuwa anaitwa mbuya
Kaanza mambo mengi akiwa shule ya msingi
Tuyaache hayoooo
Aliishi na Mbulgaria Kuna wakati unaikumbka kisa kile ilisemekana walitoroshwa na wakawa wanatafutwa hadi Interpol kuingilia kati?
Huyu Dada wasimchukulie poa kashapigana vita vingi kajanjaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mume wangu, mume wangu mume wangu[emoji16][emoji16]Pesa Sabuni ya Roho, neno "Mume wangu"Reg
Baba watoto wangu Reg limerudiwa km mara 100 hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni elimu mpya kabisa kwangu. Shukrani sana.
Inamaana nnaweza kuandika na kutoa maelekezo yote kuhusu mgao wa mali zangu siku nikitwaliwa na bado mambo yakafanyika ndivyo sivyo?
Unaweza kuweka japo kwa uchache tu vitu gani vinaweza kupelekea wosia kutenguliwa?
Tatizo anashindana na watoto wakubwa anataka apate vyote yeye ndio awazidi wale wakubwa ndio nia yake
Je mume wangu mume wangu mume wangu imerudiwa mara ngapi?Mmmh taarifa ya msiba ilisema alienda dubai kwa matibabu jack katupa ubuyu walienda kula bata.
Watoto ni ngao kubwa ya jack kila neno watoto hivi watoto vile
Apia[emoji1787]Bado haujajua tuu wanawake kua wanalogana wenyewe kwa wenyewe? Hawapendi waone mwenzao kafanikiwa uchawi mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu inaonesha anapenda kupaniki mapema mnooMara mia mwenzangu. Pesa za bata zimekata hivyo anatafuta huruma ya wananzengo
Mnaosema huyo mzee alijivunjia heshima kutoka na Jackie angetoka na mwanamke wa umri gani ambae angeweza kuzaa miaka 60?55?45?em jifikirieni yeye mwenyewe ni dhahiri alitaka watoto maana hakuona tumaini kwenye kizazi chake.Hivyo mlaumuni huyo mzee na siyo huyo binti
What is next episode ?
Kivipi fafanuaMillard anatumika hiyo ni kweli
Zari alitaka ajiweke kwa kachalii ka Tandale, mond akawa mshamba, japo amekojolesha na na kuweka mbegu mbili.There you are...Zari na Jack sio league moja..zari ni smart sna sana