Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
AMBULENSI labda ndio hazijui hospital ni wapi 😂Jack anajichanganya maelezo.
Angalia dakika ya 31 ameulizwa kuhusu Hospital dubai.
Akasema
*mme wangu alidondoka hotelini walikuwa wanatembea, wakapiga reception wakaitiwa Ambulance....
Baadae akasema aliwauliza reception wawaelekeze hospital maana hazijui. Je ambulance inaweza isijue hospital?
Sent using Jamii Forums mobile app