I second you. Watu tuliopo hizi field za Afya tuna siri kibao tu ndugu.
Na tunajua ilikuaje siku anaondoka home na kwenda kuishi na huyu jacky.
Hakuondoka kwa ugomvi wowote huo ndo ukweli. Mzee alikua anafanya kila mtu. Hai wadada wa mjini almost wote aliwapitia. Watu tumekaa kimya tu.
Ishu ya wivu nashindwa ielewa kabisa. Hawa viumbe wanaitoa wapi? Aisee, kwenye maisha yangu wivu siutambui na nimeridhika na status yangu zaidi napambana niwe na zangu. Hela yako ya kuitafuta ni tamu sana. Hizi ambazo hata hujui zimepatikanaje sijui kama nimewahi kuwa na wivu nazo.
Hapa tunaumia kwakua tunapambana mno sisi kama wanawake. Unakubali kuwa na mwanaume ambaye financially hayuko poa kabisa mnapambana mchango mkubwa ukiwa wako halaf mnakuja fanikiwa. Siku nikatangulia mbele ya haki basi mwanamke mwingine anaibuka na kutaka hata lile jasho langu alichukue yeye apore wanangu. Sijui kama wanalifikiria hili mkuu.
Mengi aliondoka mwenyewe kwa uhuni wake mama wa watu asisingiziwe tafadhalu
Sent using
Jamii Forums mobile app