Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Hapo kwenye Red. Unaita Home Ulikuwepo???
 
Suala hapa ni kuhusu watoto wakubwa wa mengi vipi mgao wananufaika vipi, hizi porojo za jack Wala hazina mashiko, hata yeye anajua wazi lazima atafeli ndo maana analia public ili aonewe huruma lol, mbona wenzie wako kimyaaaaa khaaaaah poleeeeeeh yakeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme mfano Mtu ambaye haifahamu hii issue akiingia humu ndani anaweza kusema anayeongelewa ni sidechik/kamalaya kumbe ni mtu aliyeolewa na ana watoto.Watu wanaomsema sasa hivi hata wakati akiwa na Mengi wengi wao walikuwa wanamsema.

Mzee aliachana na mke wake longtime na hapo katikati kapita na wengi akaamua kutulia na bidada ilikuwa kosa. Cha msingi haki itendeke that's all chuki binafsi na wivu tuache jmn
 
Watanzania asilimia kubwa tuna roho mbaya, chuki na wivu. Dahhh mungu atusaidie asee hizi roho mbaya zife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology ni hatari!inatunza maandishi!
Tutarudi hapa!
Ngoja tuone mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Dada!nashangaa wanaoshabikia upumbavu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sio mchaga lkn umeongea point!
Kuna MTU mmoja ameelezea jinsi mirathi zinavyokua,anasema huwa wanarudi nyuma kuangalua mpk mila na desturi za kabila husika! Sio kirahisi hivi wanavyofikiria watu hapa!

Yaani MTU katoka huko SBB ana target zake za mali eti miaka kadhaa azae aishi na baba angu( mfano) halafu upewe kila kitu?!! Thubutuu,not me!
Naunga mkono watt na familia ya Mengi wako sahihi na Mungu atawatetea tu huyu goldigger asilete habari zake! Atulie wamgawie sbb kuna watt
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo mali kajipa mwenyewe au mwenye mali zake kampa? huyo mwenye mali aliezitafuta kwa jasho lake miaka zaidi ya 50 kwa mapenzi na ridhaa yake mwenyewe ndio kaamua kumpa, sasa wewe unapingana na maamuzi ya mwenye mali? wabongo bana!
 
Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana. Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watoto sio ndugu tu. Halafu hauwezi jua hao ndugu wameplay part ipi katika utajiri wa huyu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaenda kufungua kampuni ya fenicha, kochi moja milioni nane..... Pumbavu nani atanunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi alikuwa na craving ya watoto. Imagine unazaa wanao watatu, mmoja anafariki, waliobaki wanafika 40s hata mjukuu hawakupi. Lazima uzae vitoto vingine vya kukufariji kwenye old age.
Hivi ina maana walikuwa hawatombani, maana mtu inakuwaje unafika umri huo hakuna hata mimba ya kubambikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah uyu demu anazingua eti niliitwa kwenye kikao cha familia ila hakwenda kwa sababu alikuwa naaumwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23]
Me namshaur awaachie kina regina mali zao wakitaka kumgawia watampa wasipotaka pia aachane nao akomaee kivyake pesa atapataa tu
 
Mara moja moja uwe unafuatilia angalau documentaries za "investigation discovery" au "my little dirty secret" au "forensic files" Naamini utatoka kwenye hilo giza linalokuzingira...

mkuu, mtu unayejaribu kumuelewesha hajui hivi vitu muache kashazoea mambo ya uswahilini
tatizo letu watanzania hatutaki kubadilika bado tunaishi maisha ambayo wenzetu waliishi miaka zaidi ya 60 iliyopita

ndio maana kuna mwalimu wangu fulani alisisitiza definition ya development lazima iwe na maneno haya INDIVIDUAL,SOCIAL,POLITICAL na ECONOMIC


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

🤣kwa hadhi yake anapanda ndege sasa miguu kuuma inahusiana vipi na kwenda kikaoni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa hakuna mahali unaweza tenguliwa

Ushaambiwa mzee Ana 1% ya share .[emoji2]

Nenda kanywe soda sherehekea[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Case hii k lyn ana nafasi kubwa sana ya kushinda.. ndio maana anakomaa iamuliwe na mahakama sio na vikao vya ndugu nje ya mahakama..

Hoja za mzee Mengi alichanganyikiwa.. itahitaji ripoti ya hospitali. Hapo ndipo patamu
Hata kama hakuna ripoti ya hospitali wosia wowote unaobagua watoto hua unabatishilsha hadi kwenye extent ya ule ubaguzi..kama ni bush lawyer itakua unajua hilo kwenye sheria za mirathi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…