Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Mbona mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani muda tu na watoto wake wanaingiziwa hela za maana kutokana na shares za mama yao. Hapo wanapigania haki ya baba yao so far I know lbd kama hizi info hazikuw za kweli
 
Mbona mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani muda tu na watoto wake wanaingiziwa hela za maana kutokana na shares za mama yao. Hapo wanapigania haki ya baba yao so far I know lbd kama hizi info hazikuw za kweli
Uliosoma wosia vizuri...etiii mengi amefuta wosia zake zote ikiwemo ile ya separation yake na mama mercy sijuii unaelewa vizuri kasome ndo utajua kwa nini watu wana mgandamiza jackline,halafu kuhusu ndugu wa mengi kusimamia mirathi kabla haya ya wosia huu ambao pia amemtaja Benjamin mengi kaka yake kama msimamizi,pia hata huko nyuma kwenye wosia mingine alimtaja pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write-right
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeee! Makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi Mungu sio mjomba,huyu mdangaji atulie tu ila asahau kupata hizo Mali km anavyotaka! Nawaonbea hao watt wakubwa Mungu awapiganie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona Kuna mwanamke yuko side ya Jack basi huyo wa kumuangalia Mimi sisapoti uchawi kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Regina asingekuwa mapepe, baba ake angemuachia urithi, lakin ndio hivyo kampani yake ya wasagaji akina Salama Jabir imemponza.
 
Kuna vigezo vya kuandika wosia.
Pia kuna haki ya kupinga wosia..sheria haisemi unampa tu mali mtu kwakuwa umempenda.
Km unampa mtu .mali kwa kuwa wampenda ulipaswa ufanye ukiwa hai.
Ukiwa umekufa kuna mambo mengi yanafanywa pasipo ridhaa..mfano ulusema uzikwe kigoma ndg wanaweza kukuzika dar au kwingimeko kutokana na fact sio tu kwa kuwa marehemu kasema.
Kuhusu jackie alipaswa ajue
Mazingira ya ndoa yake
Mila na dezturi za kabila la mumewe
Aina ya ndg na jamii inayomzunguka kabla ya kumwambia mzee asaini
Pia na yeye background yake..
Mwisho taratibu za kisheria zinasemaje ktk mazingira hayo.
Km mtu ana busara hata km mume kawanyima wtt mali alipaswa amshauri akitambua hatma ya kesi ya mirathi ni ukurasa mpya wa maisha na mahusiano yake na wanawe..
.mwisho moto huzimwa vema na maji kuliko moto mwenzake.
 
Regina asingekuwa mapepe, baba ake angemuachia urithi, lakin ndio hivyo kampani yake ya wasagaji akina Salama Jabir imemponza.
Kuna jamaa flani enzi miaka ya nyuma sana alitaka kumuoa but aliogopa sasa sjui ni tabia au pesa za baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…