Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Kawafukuzaje Jack wakati wosia kaandika Mengi?
Mwenye mali ndo kaamua kumpa Jack kwa utashi wake si watafute za kwao!
Kichekesho ni kwamba huo mchango mnaujua nyie watu baki tu kuliko mwenye mali mwenyewe!
Wenye mchango wa kumfanya mtu akawa millionaire Kama Mengi hawawezi kung'ang'ania mali za watu.
Povuu kama lote , kyln mchepuko ndio anang’a ngania mali za familia ya watu