C&P
JACQUELINE MENGI AGONGA MWAMBA MALI ZA MAREHEMU MENGI:
Mahakama imetupilia mbali kesi ya Jacqueline Mengi aliyokuwa amefungua dhidi ya watoto wa marehemu Mengi kutokumiliki mali za marehemu baba yao.
Sasa watoto wana haki na mali za baba yao mwanzo jack alikua kawawekea vipangamizi hakuna kushika Mali wala kufanya kazi kwenye kampuni za Baba yao. Huku mwanamke huyo akidai kuwa Marehemu Mengi alimmilikisha majengo yote yakiwemo nyumba zote za kuishi na zile za biashara.
Hii ni sehemu ya mahojiano ya jacq na Mahakama:
Mahakama ; Jacky Unaushahidi wowote ( Evidence ) mzee kakuachia Urithi Nyumba zote za familia na za biashara Ni zako ?? .
.
Jacky ; Mzee aliniambia Alivoachana na Partner wake ( X mke wake ) kila mtu alianza Mahusiano Mapya na waligawana Mali , Ambazo Mali hizo za Mkewe zimeachiwa watoto wakubwa !!!! .
.
Mahakama : Unaushahidi wowote wa hayo Maneno Mzee aliyokuambia .
.
.
Jacky ; Hapana ila hata Doctor ****** Aliniambia , na Mzee alipopata stroke alisema Mojengo yote nichukue mimi .
.
.
Mahakama ; Katika Maisha yako na Mengi , Ulishawahi kuona divorce Document za Mengi na Mkewe ?? .
.
Jacky ; Hapana ila mimi ndo mke halali na aliye hai wa Mzee Mengi .
.
.
Mahakama : So hauna Uhakika kama Mengi na Mkewe walifanya Official divorce , au walitengana tu ! .
Jacky , Mengi aliniambia waliachana 10 yrs Ago . .
.
.
Jacky ; siwezi kukubali Maneno aliyoniambia Marehemu Mume wangu , Yatenguliwe na hao ndugu waliopata Mgao kwa mke mkubwa na wako na shares kwenye makampuni .
.
.
Mahakama , Katika maneno Aliyokwambia Mumeo , Unaushahidi wa Sauti au Maandishi ??? .
.
Jacky : Ninaushahidi wa Mirathi .
.
Mahakama ; Ushahidi wa Mirathi ulipigwa stamp ya notary republic Marehemu akiwa Hai ????? .
.
Jacky ; Hapana .
.
Mahakama , Kwanini Uliachia Mirathi public huku case Iko Mahakamani .
.
Jacky ; nilitaka watanzania waujue Undani ili hata nikiuwawa watoto wangu wasaidiwe .
.
.
Mahakama , Ulishapewa tishio lolote na familia au wamekupa sababu ya kuhisi hauko salama ? .
.
.
Jacky ; Hapana but ni mambo , Ukiwa Mama lazima Uyaangalie kwa Upana , sababu Chokochoko zilianzia Dubai , wakidai nimemuua Marehemu mume wangu .
Sent using
Jamii Forums mobile app