HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kuna uwezekano mkubwa Mengi aliona tamaa ya huyu akaamua mchezea mchezo kwenye wosia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She got played...because she was & still is a fool...Kwa kifupi Jacky got played, Mengi ni multimillionaire na mpaka kufika pale hiyo michezo
anayoleta Jacky sizani kama alikuwa haijui.
Namuonea huruma mama wawili kwa kupoteza pensheni yake(urithi), na kwa up and coming gold diggers kuna Mengi ya kujifunza kwenye hii case.
Usikute hata huo wosia aliandika akiwepo na Jack ili amfurahishe huku akijua anachoandika haiwezi kuwepo na haitawezekana, trust me mzee many alikuwa anajua Nini anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna uwezekano mkubwa Mengi aliona tamaa ya huyu akaamua mchezea mchezo kwenye wosia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaambiwa hisa zote 99% zimepelekwa kwenye Reginald Mengi Family Trust FUnd[emoji2]Nieleesee hiyo asilimia moja imetoka wapi? Yaani mzeee alikuwa na hisa asilimia moja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah tamaa tu Hana justification yoyote ya kudai hizo hela na Mali .Huyu dada ni tamaa zinamponza. Angetulia tu wale Wachaga wasingemuacha, kwanza welfare ya wale watoto ingemtosha kuishi mbali na hapo wangemkumbuka kwa muda aliikua anamfulia na kumpigia pasi baba yao.
Elimu elimu elimuHahaa jamaa ni silent killers kama ninja assassin ...hawaongei..mpaka adui anaita press....kesi Ipo mahakamani kwanini asiichie mamlaka ifanye kazi yake...masikini kupenda penda papuchi kumemfanya mengi asababishe majanga katika family
Usikute hata huo wosia aliandika akiwepo na Jack ili amfurahishe huku akijua anachoandika haiwezi kuwepo na haitawezekana, trust me mzee many alikuwa anajua Nini anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo kwenye wosia ndio kaharibu kila kitu .Kwenye wosia simetei at all ninachomtetea ni watu kumsema huyu dada as if yeye ndiye aliyemlazimisha Mengi kuwa naye. Kuwa treated kama a prostitute watu hawaconsidi kuwa huyu dada ameishi na Mengi in one roof na amezaa naye. She is a mother already. Ingawaje alichofanya Kwenye wosia hakikuwa poa.
Hahahah wakati yeye anapenda show ya RihannaHivi Klyn anajua kuwa wakati ule yeye anakwenda ma holiday makubwa makubwa Regina alikuwa na majukumu ofisini na si kuwa hawezi kujirusha ila ana majukumu.
Mimi nilivyoona ile interview ya M.Ayyo nikajua huyu dada kashakosea, anaongea vitu bila ushahidi wowote zaidi ya kusema Mengi alisema.Wanasema pia ana dharau na kiburi sana. Pesa inaleta ujeuri. Ukiangalia hio interview ya mahakama anapanic ovyo na maneno mengi ni ya kuambiwa tu bila ushahidi
Mimi nilivyoona ile interview ya M.Ayyo nikajua huyu dada kashakosea, anaongea vitu bila ushahidi wowote zaidi ya kusema Mengi alisema.
Mengi alimwambia ameshawagaia watoto wakubwa urithi kwa mama yao. Ushahidi upo wapi? Alikuachia documents?
Mengi alisema akifa azikwe kwenye nyumba yake Moshi, Ushahidi upo wapi?
Mengi alikuwa tajiri, na mtu mwenye akili alikuwa ana uwezo wa kumrithisha Jack akiwa hai kwa documents au kwa njia nyingi tu, na sio kile kikaratasi eti Will.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfiwa namba moja na mwenye uchungu kuliko wote ni mke. Hawa wengine kinachowauma zaidi ni Mali wala siyo kufiwa!
Yeye alituaminisha kuwa tarehe 9 hukumu itatoka upande wake.
Hii kesi ni tamu sana. Kumbe yeye ndiye alikimbilia mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo kidogo hapa mkuu.Ushaambiwa hisa zote 99% zimepelekwa kwenye Reginald Mengi Family Trust FUnd[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uelewa wangu mdogo Wa sheria za ndoa kuna machache ya kujiuliza yanayoweza kukupa majibu.
Kwanza, kama Mengi hakumuacha mke wake kwa taratibu zinazotambulika ki mahakama, Je akioa tena iyo ndoa ya pili itakuwa halali? Ndio maana uliona Jacky anaulizwa kama anao ushahidi Wa Mengi kumuacha mkewe akabakia kusema mume wangu aliniambia ivyo unfortunately mahakama hazitumii hearsay kama evidence, ilitakiwa aweke divorce papers mezani.
Pili ambayo ni muhimu na naona wengi hawaizungumzii, Je ndoa zinazozofungwa nje ya nchi kwenye foreign jurisdiction, wanandoa hao wanaporudi nchini iyo ndoa inatambulika kisheria automatically au kuna taratibu lazima wafuate ili ndoa yao itambulike mfano kusajili ndoa yao to the marriage registrar.
Na ata kama ndoa yako itatambulika nchini, lazima ujue in case of a dispute ni sheria zipi za ndoa zitatumika, sheria za nchi mlizofunga ndoa au sheria za nchi ambazo wanandoa wana makazi ya kudumu( permanent residence).
Nilivyoona tu mzee Mengi kampiga huyu slay queen destination wedding nikaamini kweli anao watu wazuri( wanasheria) wanaomshauri vizuri. Inawezekana mama Mercy Mengi kujua izo grounds ndio maana hakutaka kupoteza muda wake na hio ndoa ya mshua.
Mkuu unaongea nini wewe?hii wiki ni chungu sana kwa jack maskini Tusubiri maamuzi ya mahakama na ndugu tutafute vya kwetu si vizuri kukandamiza wajane kwa mali usizozitafuta kwa sababu tu nduguyo tajiri. huyu mama asilaumiwe bali asaidiwe mambo ya kizamani ya wajane kunyang'anywa kila kitu cha marehemu sikuizi hayapo sheria ni msumeno hope itatenda haki kwa mjane na na wanae na wana wakubwa wa marehemu, hakuna kinachofurahisha hata kidogo kwasababu vidonda vya kuondokewa na wapendwa wao bado vibichi, kila mtu atafute chake na familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app