Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Kwa kifupi Jacky got played, Mengi ni multimillionaire na mpaka kufika pale hiyo michezo
anayoleta Jacky sizani kama alikuwa haijui.

Namuonea huruma mama wawili kwa kupoteza pensheni yake(urithi), na kwa up and coming gold diggers kuna Mengi ya kujifunza kwenye hii case.
She got played...because she was & still is a fool...
Mengi alichofanya ni kumridhisha kwa maneno ajione she's the queen, kumbe kingdom ni DANGANYIKA...
Anaenda naye kwenye functions, anatokea kwenye TV, fenicha zikashinda tuzo Dubai..e.t.c

Kashtuka kumepambazuka, mbu walishamng'ata, baridi imempiga mpaka gangrene imeanza...
Akaona muda muafaka kukimbilia mahakamani na public...
Mahakamani kaona kabisa kishalikoroga..
Public anaitegemea SANA imuonee huruma, bahati mbaya nako hakuna msaada...

She's delusional & self-centred...Pole zake...
Atafute washauri wenye akili...wenye uwezo wa kumwambia nyeusi ni nyeusi siyo dark grey, na nyeupe ni nyeupe siyo light cream...

Everyday is Saturday.................... 😎
 
Kuna uwezekano mkubwa Mengi aliona tamaa ya huyu akaamua mchezea mchezo kwenye wosia

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute hata huo wosia aliandika akiwepo na Jack ili amfurahishe huku akijua anachoandika haiwezi kuwepo na haitawezekana, trust me mzee many alikuwa anajua Nini anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi mno na akili ya mchaga huyo. Eti akubali tu kukupa mali zake zote. Kumbe will yenyewe haina mhuri wa Notary for Oarth. Cheti cha talaka cha Marehemu Mercy hajawahi kukiona kokote ila kwa Maneno alidanganywa walitalikiana. Na nyumba eti akaambiwa kwa Maneno. Yaani kila kitu yeye akaambiwa kwa Maneno bila ushahidi wa maandishi. Hapo ndiyo namsifu mzee machache. Amekuwa mpole watoto na ukoo ungemheshimu tu na kulmtunza vizuri. Matokeo yake ameshaachwa na ukoo mzima na marafiki wa mzee machache. Ninachojua watoto watatunzwa na kusoma vizuri tu. Kila la heri Mtusi Gold digger. Rudi kwenu kadange.
 
Huyu dada ni tamaa zinamponza. Angetulia tu wale Wachaga wasingemuacha, kwanza welfare ya wale watoto ingemtosha kuishi mbali na hapo wangemkumbuka kwa muda aliikua anamfulia na kumpigia pasi baba yao.
Yeah tamaa tu Hana justification yoyote ya kudai hizo hela na Mali .

Angetulia Wala asingepoteza kitu thought yeye bado analipa madanga asingekosa tena wale heavy weight .

Tatizo ana fear how she will manage to live her way life aliozoeshwa na.mzee



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliandika makusudi bila kuwataja watoto akijua ni kosa kisheria. Akijua kabisa akifa mahakama itatengua
Usikute hata huo wosia aliandika akiwepo na Jack ili amfurahishe huku akijua anachoandika haiwezi kuwepo na haitawezekana, trust me mzee many alikuwa anajua Nini anafanya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye wosia simetei at all ninachomtetea ni watu kumsema huyu dada as if yeye ndiye aliyemlazimisha Mengi kuwa naye. Kuwa treated kama a prostitute watu hawaconsidi kuwa huyu dada ameishi na Mengi in one roof na amezaa naye. She is a mother already. Ingawaje alichofanya Kwenye wosia hakikuwa poa.
Na hapo kwenye wosia ndio kaharibu kila kitu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Klyn anajua kuwa wakati ule yeye anakwenda ma holiday makubwa makubwa Regina alikuwa na majukumu ofisini na si kuwa hawezi kujirusha ila ana majukumu.
Hahahah wakati yeye anapenda show ya Rihanna

Regina alikuwa Amanda payrolls,ana review contracts,anasaka dealz za matangazo mjini hapo ,ana mikakati mingine ya kampuni .

Yaani Hana aibu huyo sista [emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii wiki ni chungu sana kwa jack maskini Tusubiri maamuzi ya mahakama na ndugu tutafute vya kwetu si vizuri kukandamiza wajane kwa mali usizozitafuta kwa sababu tu nduguyo tajiri. huyu mama asilaumiwe bali asaidiwe mambo ya kizamani ya wajane kunyang'anywa kila kitu cha marehemu sikuizi hayapo sheria ni msumeno hope itatenda haki kwa mjane na na wanae na wana wakubwa wa marehemu, hakuna kinachofurahisha hata kidogo kwasababu vidonda vya kuondokewa na wapendwa wao bado vibichi, kila mtu atafute chake na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema pia ana dharau na kiburi sana. Pesa inaleta ujeuri. Ukiangalia hio interview ya mahakama anapanic ovyo na maneno mengi ni ya kuambiwa tu bila ushahidi
Mimi nilivyoona ile interview ya M.Ayyo nikajua huyu dada kashakosea, anaongea vitu bila ushahidi wowote zaidi ya kusema Mengi alisema.

Mengi alimwambia ameshawagaia watoto wakubwa urithi kwa mama yao. Ushahidi upo wapi? Alikuachia documents?

Mengi alisema akifa azikwe kwenye nyumba yake Moshi, Ushahidi upo wapi?

Mengi alikuwa tajiri, na mtu mwenye akili alikuwa ana uwezo wa kumrithisha Jack akiwa hai kwa documents au kwa njia nyingi tu, na sio kile kikaratasi eti Will.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kuna tofauti ya mke na slayqueen. Muda wote alikua anawaza bata tu
Mimi nilivyoona ile interview ya M.Ayyo nikajua huyu dada kashakosea, anaongea vitu bila ushahidi wowote zaidi ya kusema Mengi alisema.

Mengi alimwambia ameshawagaia watoto wakubwa urithi kwa mama yao. Ushahidi upo wapi? Alikuachia documents?

Mengi alisema akifa azikwe kwenye nyumba yake Moshi, Ushahidi upo wapi?

Mengi alikuwa tajiri, na mtu mwenye akili alikuwa ana uwezo wa kumrithisha Jack akiwa hai kwa documents au kwa njia nyingi tu, na sio kile kikaratasi eti Will.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye alituaminisha kuwa tarehe 9 hukumu itatoka upande wake.

Hii kesi ni tamu sana. Kumbe yeye ndiye alikimbilia mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ilivyotoka hukumu hakurudi tena kwa Millard kutupa mrejesho wa Hukumu! Wenzie wanapigana hii vita kisomi zaidi na wakiwa kimya,yeye anakimbilia kwa Millard! Elimu ni kitu muhimu sana maishani
 
Ushaambiwa hisa zote 99% zimepelekwa kwenye Reginald Mengi Family Trust FUnd[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo kidogo hapa mkuu.
Hela za Mengi alihamishia kwenye foundation yake zote? Naona jacky na dadake ndo wamehamia huku. Hapa imekaaje?

Furthurmore nachoona hapa hii foundation inaenda kufa. Nani atakua tayari kuchangia goldigger. Trust me haina muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu mdogo Wa sheria za ndoa kuna machache ya kujiuliza yanayoweza kukupa majibu.

Kwanza, kama Mengi hakumuacha mke wake kwa taratibu zinazotambulika ki mahakama, Je akioa tena iyo ndoa ya pili itakuwa halali? Ndio maana uliona Jacky anaulizwa kama anao ushahidi Wa Mengi kumuacha mkewe akabakia kusema mume wangu aliniambia ivyo unfortunately mahakama hazitumii hearsay kama evidence, ilitakiwa aweke divorce papers mezani.

Pili ambayo ni muhimu na naona wengi hawaizungumzii, Je ndoa zinazozofungwa nje ya nchi kwenye foreign jurisdiction, wanandoa hao wanaporudi nchini iyo ndoa inatambulika kisheria automatically au kuna taratibu lazima wafuate ili ndoa yao itambulike mfano kusajili ndoa yao to the marriage registrar.

Na ata kama ndoa yako itatambulika nchini, lazima ujue in case of a dispute ni sheria zipi za ndoa zitatumika, sheria za nchi mlizofunga ndoa au sheria za nchi ambazo wanandoa wana makazi ya kudumu( permanent residence).

Nilivyoona tu mzee Mengi kampiga huyu slay queen destination wedding nikaamini kweli anao watu wazuri( wanasheria) wanaomshauri vizuri. Inawezekana mama Mercy Mengi kujua izo grounds ndio maana hakutaka kupoteza muda wake na hio ndoa ya mshua.

Nimejifunza kitu kikubwa sana kwa hii comment! Na kuna uwezekano mkubwa sana Jack atashangwanzwa sana na hili,looks like Mzee alijua mapema sana and he knew ndio maana hata Wosia akaandika ule wa kilocal kabisa tena nnje ya Wanasheria wake wanaojulikana siku zote!
 
hii wiki ni chungu sana kwa jack maskini Tusubiri maamuzi ya mahakama na ndugu tutafute vya kwetu si vizuri kukandamiza wajane kwa mali usizozitafuta kwa sababu tu nduguyo tajiri. huyu mama asilaumiwe bali asaidiwe mambo ya kizamani ya wajane kunyang'anywa kila kitu cha marehemu sikuizi hayapo sheria ni msumeno hope itatenda haki kwa mjane na na wanae na wana wakubwa wa marehemu, hakuna kinachofurahisha hata kidogo kwasababu vidonda vya kuondokewa na wapendwa wao bado vibichi, kila mtu atafute chake na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaongea nini wewe?
Hao ndugu ndo wamebebana na Mengi mpaka hapo alipofikia. Watu wana shares zao. Nani anadhulumiwa? Kwa jasho lipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu tuache tafadhali.
Halafu mila za wachagga wazijua vizuri kweli?
Its always about family thing. Eti ndugu wanamdhulumu. Wamekuambia wanataka mali ama wanataka mgawanyo sawa kwa watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom