secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nawapenda sana haielezeki!Huwapendi wamachame wenzio msee 😆
Kwanza nimeshamisi maparachichi ya kutungua si ya kununua.
Nawapenda sana haielezeki!Huwapendi wamachame wenzio msee 😆
Unapajua makereshoNawapenda sana haielezeki!
Kwanza nimeshamisi maparachichi ya kutungua si ya kununua.
Yeah! Ku nani?Unapajua makeresho
Yeah! Ku nani?Unapajua makeresho
Ndipo nipo usiku huu mseeYeah! Ku nani?
Unafanya nini hapo msee?Ndipo nipo usiku huu msee
Kufunga maji yanayoshuka hapo tacri 😆😅Unafanya nini hapo msee?
Hahaha 😂, umepata kazi hapo, siyo?Kufunga maji yanayoshuka hapo tacri 😆😅
Eeeh babanguuuu yaaani nikiamka naenda kusali pale narumu nikirudi naenda kulye lyamungo sinde kukata majani saa mbili kazini makeresho 😅Hahaha 😂, umepata kazi hapo, siyo?
Mwezi huu mwishoni nakuja huko niandaliea parachichi mkuu.Eeeh babanguuuu yaaani nikiamka naenda kusali pale narumu nikirudi naenda kulye lyamungo sinde kukata majani saa mbili kazini makeresho 😅