Jacqueline Mengi: The richest woman in East Africa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama damange anamakaburi ya kusikitisha sana
Shida iko kwenye kuumia moyoni na kuanza kufukua makaburi wakati dunian kila mmoja ana makaburi.
 
Kile cha mzee ni bonite bottlers, Dar ndio Coca-Cola Kwanza
Coca cola kwanza is the best in east and central Africa,mitambo yake hata south Africa hakuna
Mzee aliingia kwenye uchimbaji wa dhahabu na mererani ana mgodi wa Tanzanite
Kuna kampuni ya kutafuta gesi swala plc,inauza hisa Lse na Nyse,hatari tupu
 
Kama ni hivyo mzee Alitisha sana
Labda hatuelewani
Bonite na coca cola kwanza vyote vyake,isipokua aliamua kumpa bonite mama watoto wake ili kuendesha maisha,akabak na coca cola kwanza
 
Hatari tupu kwanza tu hile nyumba yake hatari tupu yaan
 
Wadada wa tz hawapendi kuona mwanamke mwenzao akifanikiwa tena mafanikio makubwa kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivi umeandika ukitaka kusikia wanawake watasema nini?
Hii nayo ni habari ya kupikwa aka udaku
Umejuaje kama kaachiwa kiasi hicho
Fanya kazi kwa bidii nawe uwe nachako cha kumwachia mwenza wako epuka umbea
 


Hii ni sawa na blog ya Madanja neither accountability no reliability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…