Jacqueline Mengi: The richest woman in East Africa

Jacqueline Mengi: The richest woman in East Africa

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Inaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M

I love it!!

BREAKING : 75-Year Old Tanzanian Billionaire Dies & Leaves $560m For His 39-Year-Old wife

The richest man Tanzania, Reginald Mengi has been reported dead and the fortune he has left for his surviving wife who is said to be 39-years old, has stunned readers online.

The business tycoon left behind his beautiful wife called Jacqueline and their four children. It was gathered that Mengi passed on in the early hours of May 2, 2019, in Dubai.

According to reports, the billionaire left behind $560 million (Ghc2,900,800,000.00) for his 39-year-old wife and former Miss Tanzania, making her the richest woman in East Africa.

Reginald Mengi owned several business organisations including Radio One, ITV, IPP Gold and more.

richman.jpeg
 
Inaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M

I love it!!

Story kamili follow link below

View attachment 1094795
Nani aliyesema kuwa "kufa kufaana"?
 
Mapenzi ya kweli na kujielewa kwake ndio kulimfanya mzee amuamini sana.. hata kama alikuwa na scandal lakini sio kama za kina wema.. Ni moja ya mamiss tz waliojielewa sana
Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.

Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wa tz hawapendi kuona mwanamke mwenzao akifanikiwa tena mafanikio makubwa kama haya
Hii taarifa kama ni ya kweli haitakuwa njema kwa baadhi ya dada zetu wa kitanzania wasiopenda kuona watu wakikua kijamii na kiuchumi. Furaha ya wengi ni kuona mtu kafulia, kafirisika n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.

Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kile ndiyo kinachofanya vizuri kuliko biashara zote nyingine.
Coca cola kwanza is the best in east and central Africa,mitambo yake hata south Africa hakuna
Mzee aliingia kwenye uchimbaji wa dhahabu na mererani ana mgodi wa Tanzanite
Kuna kampuni ya kutafuta gesi swala plc,inauza hisa Lse na Nyse,hatari tupu
 
Back
Top Bottom