beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge wa Viti Maalum (Ruvuma) Jacqueline Ngonyani Msongozi amesema Dawa zinazoenda Kituo cha Afya cha Msindo sio sawa na uhalisia wa eneo na wananchi bado wanahangaika
Amesema mgao wa Dawa ni mdogo na haukidhi mahitaji. Naibu Waziri TAMISEMI, Festo Dugange, amesema Kituo kimekuwa kikipata Dawa kama Zahanati badala ya Kituo cha Afya kwasababu Halmashauri haikuwasilisha maombo husika