Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,629
- 1,960
Leo ilikuwa siku ya kupiga kura za maoni kwaajili ya kuwachagua wanao wania nafasi ya ubunge VITI MAALUM kupitia UWT kwa ngazi ya Mikoa yote Tanzania Bara na visiwani. Huu ni utaratibu wa kawaida baada ya kuwa walifanya uchaguzi wa viti maalumu kwa ngazi ya madiwani. Leo ilikuwa zamu wabunge wa viti maalum UWT.
KWA MKOA wa Ruvuma uchaguzi umefanyika leo na kushuhudia JAQUILINE Ngonyani Msongozi akiibuka kidedea kama ilivyo tarajiwa.
Matokeo yapo kama ifuatavyo
1. JAQUILINE Msongozi 946
2. Mariamu Nyoka 753
3. Happiness Ngwando 444
JAQUILINE Ngonyani ameshinda kutokana na kufanya vizuri sana awamu iliyopita. Ambapo amekuwa mbunifu kwa kuwasaidia wanawake wa mkoa wa Ruvuma katika kuwatafutia fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi.
Hongera sana JAQUILINE Msongozi. Hongera pia Mariamu Nyoka na Happiness Ngwando.
Ikumbukwe kuwa JAQUILINE Msongozi wakati wa vikao vya mchujo Kamati ya Utekelezaji UWT mkoa ilimkata Jina lake kwasababu zisizojulikana. Jina la JAQUILINE Msongozi limerudi baada ya kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Taifa.
Wabunge watategemea kura za Rais atakazopta kwenye uchaguzi mkuu. Hongera sana @CCM_TANZANIA kwa kuweka utaratibu mzuri sana ambapo wagombea wanapata haki zao na uchaguzi unakuwa wa wazi huru na haki.