Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jack alikosea ule wosia angewaweka wale watoto yeye angejipa nusu na watoto nusu
Au nasema uongo ndugu zangu
Hizi takwimu ni siri ya mgonjwa sasa mambo ya kuanika hadharani nami nachoka.
Alafu mahakamani hawakumpa mda wa kuziwakilisha mpaka alete uku kwa social media au ndo mambo ya public sympath
Kuna kesi fulani hivi ilitokea Ulaya.
Mama akiwa anaelekea ukingoni akaandika wosia ana mali za kutosha tu lakini mwanae mmoja akaandika anamuachia dola 1. Huyu mwanae ndiye mchafua mada katika familia, haelewani na kila mtu.
Basi jamaa akaenda mahakamani kupinga huo wosia. Na kumbe sheria inaelekeza mzazi kumuachia urithi mwanae ila haielekezi ni kiasi gani kwa hiyo ingetokea yule mama kaandika wosia na jamaa hajagewa kitu basi hapo ingebidi familia ikae chini kwa agizo la mahakama na kugawana sawa kwa sawa.
Ila kwakua mwenye mali ameshasema anamuachia dola 1 basi hiyo imepita tayari.
Kwa kukumbuka hiyo kesi nafikiri kinachopindua rufaa ya Aunt Jaki ni vile wosia umewacancel watoto wa marehemu utasema hawapo duniani.
Na pia wosia huandikwa kipindi mtu ana afya na akili timamu hivyo inatarajiwa kwamba mwandika wosia atakumbuka kwamba ana watoto now labda hakua na wakili wa kumwambia awaandikie hao watoto chochote kitu lakini nafikiri kesi itaendelea kwenda in favor ya hawa watoto wa marehemu iwe isiwe.
Akikujibu niite nione jibuDuuuhh, ngoma bado mbichi hii.
K Lyn alikosea kutojimilikisha vya kueleweka kabla ya Mengi kuondoka
Barua imeandikwa mwaka 2016, halafu inaelezea mambo ya mwaka 2017 na 2019. K Lyn hili limekaaje?
Mwenye mali ana mamlaka kamili na mali yake,anaweza kuamua kutiwapa wanawe na asitie sababu huku akimrithisha mtu mwingine,oia anaweza kutia sababu,kama bile watito(m) hakuwa msaada kwake katika kipindi cha uhai wake,alisaidiwa na watu(m) mwingine eakati wa shida au haja zake
NaamMwili ukiwaka tamaa unazuia uwezo wa ubongo kufanya kazi inavyotakiwa.....msukumo wa moyo unakuwa juu kuliko kawaida.....ikifikia hatua hiyo fahamu zinakaa mbali na mwili....na msukumo wa moyo ndio unaoamrisha matendo ya mwili badala ya akili.......hapo ndipo unapoona mtu anafanya matendo yatakayokuacha kinywa wazi......baada kipindi hicho kupita mwili unarudia hali ya kawaida na kuzaliwa majuto makuu.....huku ukiilaumu nafsi yako........
NB;
A fly that doesn't heed advice, follows the corpse to the grave......
Nielewe hapa:Mwenye mali ana mamlaka kamili na mali yake,anaweza kuamua kutiwapa wanawe na asitie sababu huku akimrithisha mtu mwingine,oia anaweza kutia sababu,kama bile watito(m) hakuwa msaada kwake katika kipindi cha uhai wake,alisaidiwa na watu(m) mwingine eakati wa shida au haja zake
You let a “gay” dude decide who you call yourself today and for thw past 16 years?You dumb mommafuka!
Let’s get this shit straight!
I got it from your ex boyfriend Raj Patel…whom you used to suck his Gujirati peen and swallow his baby juice.
Don’t try to claim credit for shit you had nothing to do with.
Now go back and suck peen.
Better wrinkled and shrivelled than fat, gaping, and oozing of shit.He plucked it right out of your wrinkled and shriveled up asshole 🤣🤣.
Got your salad tossed today or not yet?
Nielewe hapa:
Sheria inaelekeza mzazi ampe sehemu ya mali yake kila mtoto wake.
Ila sheria haielekezi kila mtoto agewe kiasi gani.
Katika mfano wa hiyo kesi ya huyo bwana kugewa dola 1 ni alishindwa kwakua tayari alishagewa sehemu ya mali. Asingegewa, mahakama ingetoa agizo familia nzima ikae chini na wagawane sawa kwa sawa.
Nilivyoona sababu za rufaa yake kushindwa nikaamini hata Tz itakua na sheria kama zilizotumika katika hiyo kesi.
Labda uniambie kwamba kwa Tz sheria haimlazimishi mzazi kugawa sehemu ya mali yake kwa watoto katika wosia.
Hakuna kitu kama hicho Mkuu,pata muda usome ile hukumu yote ndiyo utajua,si swala tu la kuwa wewe ni mwenye mali basi utajiandikia tu Wosia kadri utakavyo.
Kama sheria ya Tz inasema hivyo shida ni nini mpaka rufaa yake inafeli na hapo inasemwa marehemu kutowajumuisha watoto kunachangia kupindua rufaa?Sheria ya Tanzania ndiyo tunayoiongelea hapa,hakuna ulazi.a wa kumpa mali meanao wala mzazi,unaweza kumpa yetote kwa utashi wako na hakuna kosa
Hawakutenda HAKI,mbona wakati wa kuuza mali yako iliyikuwa documented kama ARDHI AU JENGO NA ARDHI YAKE mzazi hatakiwi kuwasainisha watoto wake wala hawaitwi kuulizwa kama wanataka au la isipokuwa ni kwa consent ya mke pekee?na hawawezi kwenda kulalamika mahali wakapewa haki?isipokuwa mali hiyo kama uliiandika kwa jina la"familia"ikimaanisha kila mwanafamilia katika watoto wako na mke?
Huyo wamemnyima haki,na wamefuata utashi wao na siyo sheria inavyotaka.
Kama sheria ya Tz inasema hivyo shida ni nini mpaka rufaa yake inafeli na hapo inasemwa marehemu kutowajumuisha watoto kunachangia kupindua rufaa?