Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jack alikosea ule wosia angewaweka wale watoto yeye angejipa nusu na watoto nusu
Au nasema uongo ndugu zangu

Kwanza alipaswa kujua mali za Mke mkubwa ni zipi akaziweka pembeni,kuna Family businesses pia aziweke pembeni,kinachobaki sasa ndiyo angejigaiwa hiyo 50%. Tatizo ni kuwa Mzee Mengi alikuwa smart,Family Businesses ni nyingi zaidi kuliko alichokuwa anamiliki Mzee Mengi binafsi,ukiondoa na Mali za Mke Mkubwa kama Real Estates kinachobakia ni kidogo,but kwa sababu ya elimu ndogo yeye akaorodhesha kila kitu hadi mali za Bi mkubwa kwenye wosia,na hapo ndipo alipopuyanga.

Pia kumbuka hata hilo hekalu la Kinondoni liko chini ya IPP na siyo jina la Mzee Mengi. Umeona wachagga walivyo smart? Mimi naamini Mzee Mengi kama kweli alisign hiyo “LAST WILL” alifanya makusudi kumridhisha Slay queen huku akijua kabisa mbele ya safari ataangukia pua.
 
Hizi takwimu ni siri ya mgonjwa sasa mambo ya kuanika hadharani nami nachoka.
Alafu mahakamani hawakumpa mda wa kuziwakilisha mpaka alete uku kwa social media au ndo mambo ya public sympath

Ukisoma ile hukumu yenye page 72 utapata majibu yote,Upande wa walalamikaji ulikuwa na mashahidi watatu (watoto wa Mzee Mengi na Baba yao mdogo),upande wa Jack walikuwa pia mashahidi watatu (walioshuhudia Mzee akisign ile LAST WILL).

Bado Mahakama ikaenda mbali zaidi ikawaita mashahidi zaidi ambao walikuwa Jack mwenyewe na Doctor wa Mzee Mengi. Sasa sielewi huu upuuzi anaokuja nao mitandaoni unatoka wapi wakati Mahakama ilimwita kutoa ushahidi na mpaka Doctor pia alitoa ushahidi.

Ukisoma ile hukumu ndiyo utaelewa Judge Mlyambina hakukurupuka kutoa ile hukumu,iko well detailed na kwa ushahdi uliopelekwa mbele ya Mahakama sioni akishinda popote hata akate rufaa Mbinguni.
 
Mwenye mali ana mamlaka kamili na mali yake,anaweza kuamua kutiwapa wanawe na asitie sababu huku akimrithisha mtu mwingine,oia anaweza kutia sababu,kama bile watito(m) hakuwa msaada kwake katika kipindi cha uhai wake,alisaidiwa na watu(m) mwingine eakati wa shida au haja zake
 
Duuuhh, ngoma bado mbichi hii.

K Lyn alikosea kutojimilikisha vya kueleweka kabla ya Mengi kuondoka

Barua imeandikwa mwaka 2016, halafu inaelezea mambo ya mwaka 2017 na 2019. K Lyn hili limekaaje?
Akikujibu niite nione jibu
 
Namshauri Jaqline atulie tu,akiendelea kudemka wasimamizi wa mirathi watampa BUKU tu ila akitulia wanaweza wakamfikiria,,,,Ila na yeye wakati anaishi na mengi sidhani kama aliachwa hivi hivi bila kufunguliwa biashara na kupewa mtonyo separate.
 

Hakuna kitu kama hicho Mkuu,pata muda usome ile hukumu yote ndiyo utajua,si swala tu la kuwa wewe ni mwenye mali basi utajiandikia tu Wosia kadri utakavyo.
 
Naam
 
Nielewe hapa:

Sheria inaelekeza mzazi ampe sehemu ya mali yake kila mtoto wake.

Ila sheria haielekezi kila mtoto agewe kiasi gani.

Katika mfano wa hiyo kesi ya huyo bwana kugewa dola 1 ni alishindwa kwakua tayari alishagewa sehemu ya mali. Asingegewa, mahakama ingetoa agizo familia nzima ikae chini na wagawane sawa kwa sawa.

Nilivyoona sababu za rufaa yake kushindwa nikaamini hata Tz itakua na sheria kama zilizotumika katika hiyo kesi.

Labda uniambie kwamba kwa Tz sheria haimlazimishi mzazi kugawa sehemu ya mali yake kwa watoto katika wosia.
 
You let a “gay” dude decide who you call yourself today and for thw past 16 years?
 
Sheria ya Tanzania ndiyo tunayoiongelea hapa,hakuna ulazi.a wa kumpa mali meanao wala mzazi,unaweza kumpa yetote kwa utashi wako na hakuna kosa
 
Hawakutenda HAKI,mbona wakati wa kuuza mali yako iliyikuwa documented kama ARDHI AU JENGO NA ARDHI YAKE mzazi hatakiwi kuwasainisha watoto wake wala hawaitwi kuulizwa kama wanataka au la isipokuwa ni kwa consent ya mke pekee?na hawawezi kwenda kulalamika mahali wakapewa haki?isipokuwa mali hiyo kama uliiandika kwa jina la"familia"ikimaanisha kila mwanafamilia katika watoto wako na mke?
Huyo wamemnyima haki,na wamefuata utashi wao na siyo sheria inavyotaka.
Hakuna kitu kama hicho Mkuu,pata muda usome ile hukumu yote ndiyo utajua,si swala tu la kuwa wewe ni mwenye mali basi utajiandikia tu Wosia kadri utakavyo.
 
Sheria ya Tanzania ndiyo tunayoiongelea hapa,hakuna ulazi.a wa kumpa mali meanao wala mzazi,unaweza kumpa yetote kwa utashi wako na hakuna kosa
Kama sheria ya Tz inasema hivyo shida ni nini mpaka rufaa yake inafeli na hapo inasemwa marehemu kutowajumuisha watoto kunachangia kupindua rufaa?
 

Sasa unachokataa ni nini? Umesoma ile hukumu kweli au unabisha tu,moja ya sababu kubwa ni

-Kujumuishwa Family Businesses kwenye wosia ili Mjane ajimilikishe peke yake,ktk Family Businesses kuna ndugu zake Mwendazake wamewekeza mitaji yao humo,na Family Businesses ni nyingi kuliko alichokuwa anamiliki Marehemu as a person.

-Kujumuishwa mali ya Mke mkubwa wa Marehemu Bi Mercy Mengi,na hapa walirefer hukumu iliyotolewa wakati wanadivorce jinsi mgawo ulivyokuwa.Sasa pia iliyokuwa halali ya Mke Mkubwa na yenyewe iliwekwa kwa huu wosia.

Ulitaka katika mazingira hayo Jack ashinde kweli hii kesi.
 
Kama sheria ya Tz inasema hivyo shida ni nini mpaka rufaa yake inafeli na hapo inasemwa marehemu kutowajumuisha watoto kunachangia kupindua rufaa?

Tatizo anabisha wakati hata hukumu yenyewe hajaisoma. Hii ilikuwa ni high profile Case,Judge Mlyambina kaitendea haki na kagusa angle zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…