Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu.
Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Jacob Mwambegele.
Katika kesi ya marejeo Jackline Mengi anapinga maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyobatilisha wosia wa Regnard Mengi. Pia, Jackline anapinga uteuzi wa Benjamini Mengi na mwenzie kama wasimamizi wa mirathi ya marehemu Regnard Mengi.
Huyu Mjane atendewe Haki.
nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
Yaani uamuzi wa mahakama kuu yeye anaupinga? Naomba huko juu anakokwenda wamnyang'anye hata hicho alichonacho. Yaani watoto imekuwa nongwa?
Kwani nani mwenye uhakika kwamba watoto ni wa mengi kweli? Binti mwenyewe bongo fleva! Ndugu wa mengi piganeni3 hadi kieleweke mkishindwa wekeni watani zenu wanaouza ng'ombe waendeshe kesi ya kuku!
Huyu mjane anahaki zaidi kulingana na wosia aliopewa na Marehemu Mume wake.
Wosia wa Marwhemu Mume wake ulibatilishwa kimakosa, lazima wosia wa marehemu ufuatwe kama ulivyo bila kubatilisha chochote.
Wosia wa Marehemu ulikuwa halali na aliutoa akiwa na akili timamu na alimaanisha alicho kiandika.
Mjane na watoto wake wanayo haki ya kurithi kulingana na wosia wa Marehemu.
Huyu Mjane atendewe Haki.
nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.
lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
huyu mjane anahaki zaidi kulingana na wosia aliopewa na Marehemu Mume wake.