Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Jack anamiliki appartment makongo juu. Kuna mtu namjua anaishi kwenye hizo nyumba za jack. Nahisi alijengewa ki siri siri. Maana mpaka leo kodi anapokea jack
Sasa hatosheki na malipo ya hiyo appartment? Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] msimbe tena? Mbina mapema sana. Hongera for the twins[emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tanteeeeh dea, bahat mbaya tyuuh hata sikutegemea km itakua iv, sina namna, namshukuru JAH kwa kunipa zawadi ya twins. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanteeeeh dea, bahat mbaya tyuuh hata sikutegemea km itakua iv, sina namna, namshukuru JAH kwa kunipa zawadi ya twins. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha nimechekaaa.a kama vile hakijatokea kitu vile. Hongera kwa ujasiri dia. Mungu ni mwema. My biggest wish to u is to live a happy.life to the fullest with ur angels. Ndo faraja yako dia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha nimechekaaa.a kama vile hakijatokea kitu vile. Hongera kwa ujasiri dia. Mungu ni mwema. My biggest wish to u is to live a happy.life to the fullest with ur angels. Ndo faraja yako dia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ameeeeen dea. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
We hujitambui, akadangie mbele huko, kwa nini hawatambui watu aliowakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…