Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Watu mna data kushinda hata CIA kudadeki.
 
Hahahaha
 
Huyu mwanamke mshenzi sana,ameiba mume wa mtu akamkaba koo hadi akafunga ndoa kwa lazma,akafanya mafyekeche mzee wa watu akaumwa,akaandaa wosia wa kinyama na kumfosi mzee asaini katika hali ya ugonjwa bila kujitambua na kuwanyima haki wanae wakubwa ambao wameshiriki kwa asilimia kubwa mafanikio ya kampuni za baba,mwisho wa siku anamdedisha kwa tamaa ya mali halafu anataka wachaga wamchekee tu? Kunguru kweli huyu malaya,isipokua mapacha wake hawana hatia kwa ufala wa mama yao!!
 
Nadhani Mzee Mengi anahusika na haya matatizo yote, samahani japo hayupo kwa sasa. Whether aligawa mali kwa influence ya mkewe, kwa utashi binafsi au kupitia kwa wakili, huenda hakuwa fair kwa watoto wakubwa(power of love ilihusika hapa).

Nina uhakika haya matatizo yameibuka coz there was no fair share katika mgawanyo wa hizo mali, ambazo pia hao wakubwa walistahili kupata. Sasa katika kutaka kumuumiza huyu dada, wanatafuta means zozote wamuumize.

Jackie deserves, her twins deserve but the older brother n sister deserve too. Otherwise hizo mali zitapotea zote na hakuna wa kuzifaidi hapo. Busara itumike na huyu mama aachane na social media kuraise matatizo yake, zipo njia nzuri zaidi za kufanya hivyo.
 
Mkuu kutengwa na familia ni jambo la kawaida kwa mjane hapa bongo. Tena kama mjane alikuwa mke wa pili na alikuta marehemu ana mali na yeye alichoongezea kwenye hizo mali ni negligible. Lazima aisome namba. Hii kesi ni ya pili kuisikia ya kwanza ni kitaa. Tena hapa kitaa ilikuwa familia ya kawaida tu. Mjane aliambiwa na ndugu huku kitaa aondoke awaachie watoto wakubwa wa marehemu nyumba sababu ameikuta. bahati mjane wa kitaa alikuwa na uhusiano mzuri na watoto wakubwa wa marehemu wakamtetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona Mengi alimfurahia sana Jack na kusema toka awe nae Ana furaha sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanini wewe usiende mahakamani kuisaidia familia? Hahaha
 
Kwanini wewe usiende mahakamani kuisaidia familia? Hahaha

Kwa kweli ndugu Bashite huyo unaemtetea natamani angefunguliwa murder case niende kusaidia jamuhuri kufanya upelelezi na kuwapa njia za kumkamata

Ningewapeleka mpaka kwa waganga zake walietumika kupumbaza watu ili kylin hasishtakiwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba mali za mengi ni za kabila zima na wachaga wa kujitolea. Wakipata mgao wasitusahau jamani.
Hahaa mgao tutaouonea kwenye social media tu teh
 

Mali ni za marehemu aliyegawa ni marehemu wala hakuna ushahidi wa kulazimishwa
 
Suluhisho hapa,ni mali zirudi kwa watoto tu...wazazi(watu wazima) wawe wasimamizi tu;nadhani wakikaa kiukoo/familia tatizo litaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…