Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali


Una ushahidi? Wenzio wameenda mahakamani nenda kawasaidie washinde case
 
Hivi huyu mbabu alipigwa sumu or?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashindano ndo tabia za wanawake wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee, yaani mali za Mengi zimefanya watu mkazichapa humu ndani? Seriously? Naona ngumi zimechapwa kweli kweli aisee.

Hata wewe leo hii, ukiolewa familia tajiri, usitegemee mteremko kwa afrika yetu. Familia tajiri zina shida zake nyingi tu, utatengwa na hutapendwa, unaweza kutumia nguvu nyingi sana kupendeka lakini wao wanajua ulifata pesa zao, they'll never welcome you.

Na hasa kama huyo Jaq alimrubuni Mzee( mimi sijui) na ndugu walibaini hivyo, ategemee mengi mazito. Nampa pole sana, zaidi sana hao madogo, nadhani hiyo vita inaweza kuwa ya mda mrefu.
 

Exactly what i told Becky. Sidhani kama kuna mwanamke ambaye angeolewa na Mengi afu akakubalika kirahisi
 
Kwa kweli ndugu Bashite huyo unaemtetea natamani angefunguliwa murder case niende kusaidia jamuhuri kufanya upelelezi na kuwapa njia za kumkamata

Ningewapeleka mpaka kwa waganga zake walietumika kupumbaza watu ili kylin hasishtakiwe

Stop name calling! Kwanini una danganya? Haya uliyo yaandika mahakamani yamepelekwa? Wamkamate kwa kosa lipi? Kwanini mlishindwa kuzuia huyo mbaya wenu asiolewe?

Kama wosia umendikwa na Mengi si Kyln na kama mlitaka kupambana nae kwanini mnasubiri amekufa? Kwa sababu kwa sasa kimantiki mnapambana na mtu aliyekufa bado najiuliza kwanini msubiri afe ndio mseme huyo Kyln ni mchawi na mdangaji?

Lazima tukubaliane na ninyi pesa zinawatoa udenda si upendo kwa Mengi.... kama mlikuwa mnampenda kweli mngemwambia kabla hajamuoa lakini mnachofanya sasa kamwe hatopatikana mshindi!

Uzoefu uonesha kuwa vita vya aina hii huwa hakuna anayeshinda bali ni kutoana roho,kurogana na mali za marehemu kupotea!

Tumieni busara mlizotumia kumuacha baba yenu amuoe Kyln ,hizo busara ndizo mzitumie kutatua huu mgogoro na si kukimbilia mahakamani!

Vita hiii haina mshindi
 
Nilimaanisha hivi; mke hata akiwa goal keeper(hakuchangia chochote financially) ana haki ya kurithi mali za mumewe kwa 100%; sio kwamba 100% ya mali zote apewe yeye. Obviously kunakuwa na mgao

Ulivoandikaga ile thread yako ya "guys be like.." nilikuona ww ni mdada mwenye akili, ila kwa comments ulizo-post kwenye hii thread, nimekushusha vyeo Heaven Sent
 
Kwa hiyo mkuu unaamini kurogana kupo na kunafanya kazi?
 
Ulivoandikaga ile thread yako ya "guys be like.." nilikuona ww ni mdada mwenye akili, ila kwa comments ulizo-post kwenye hii thread, nimekushusha vyeo Heaven Sent
Unfortunately akili zangu hazitegemei perception ya mtu; so stop acting relevant. Btw nina akili mno mno mnoooo; sihitaji mtu yoyote hata aniambie. God didn't create a fool in me and for that; i'm forever grateful. So relax mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…