Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Hadi Nyalandu?Lazaro Nyalandu, dr Janabi ( mume wa Sophia Byanaku) Luka ( mume wa Nancy Sumari)
Wajiandae wajifunze kupitia hili sakata la Mzee Mengi maana hao wote ni Waume za watu na wana watoto wakubwa tu kutoka kwenye ndoa zao za kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app