Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Mniache kwanza bado nawaza ile buku mzee alisema apewe atakaeshinda ule wosia
 
Mkuu huyu Kyline tayari ana watoto na Mengi, lazima familia ingemuheshimu na kumpa stahiki nzuri tu, kuna tatizo somewhere kwenye hii familia ambalo hatulijui.

Ukiangalia ndugu za Mengi kama Benjamin mdogo wake, ni watu wenye pesa kwelikweli. Hapa maskini ni Kyline tu. Kakuta familia ina hela kitambo, yeye kaokota embe kwenye muarobaini tu.

Mimi ningekua karibu yake ningemshauri aachane na mambo ya mahakamani, arudi kwa familia wayamalize tu. Naamini atapata mgao wa maana mno.

Aachane na mambo ya kuvuna asipopanda. Kutawanya asipokusanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

I see.
Hata mimi niliwaza kuwa yawezekana hawa watoto hawakuwa na mahusiano mazuri na baba yao kabla ya kifo chake maana haiwezekani hivi hivi.
 

Nakuona Na*cy Sumari unavomtetea shoga yako!
 
Huu Uzi kiboko!

Ila nilichogundua Da Jacky hapendwi, kuanzia kwa Millard Ayo, Carrymastory, Mega, jf na msumari wa mwisho kwa Rachel Temu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu wanamuonea maskini mrembo mwenye asili ya Rwanda
Unfortunately au ndio vile hatujuia ya ndani nae hakutumia nafasi vizuri kujenga mahusiano mazuri na familia ya mumewe.

Watoto wakubwa nao wanakomaa sijui kama watakuwa na umoja na hawa wadogo Mungu aingilie kati.

Those moments before Mengi hajafa enzi za ugonjwa Wa Rodney, mzee mmoja aliwahi sema Bwana Mengi wanae wanaweza wasiendeleze ukoo hivyo anapaswa atafute mwanamke azae nae watoto wengine,so later akapata mnyarwanda wetu Jacqueline ambae sasa anaingia kikombe cha mateso dah!

Mungu awatengenezee harmony hii familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mwisho wa siku Mungu aingilie wakati; amani itawale; waishi kwa umoja. Yanayotokea kwa hii familia ni ya kawaida kabisa ni vile familia nyingi tu hazijulikani so mambo hayafiki mtandaoni
 
Wazee Wa heshima wenye hekima na busara waitishe pande mbili za hii familia wakae nao wayamalize kifamilia kwa heshima ya Mzee Mengi.

Pande mbili hizi haziko na hali nzuri hivyo hekima na busara yapaswa kutumika kuwaweka kwenye harmony..
Haya mambo si mageni yapo familia nyingi ni vile status zinatofautiana tu

Mungu awasaidie tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…