Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi

Bila kusema ni nani anaowazungumzia, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameandika “Nimenyamaza kwa mengi sana tu. Mmefikia hatua ya kunizuia mimi na wanangu kuingia kwenye kaburi la mume wangu.”

Ameendela na kuandika “Tunafukuzwa eti mpaka tuombe ruhusa ya kuingia kwenye kaburi la mume na Baba wa watoto wangu. Nimechoka, sitakubali kuendelea kuona wanangu wakisononeka na sitakaa kimya.”

Reginald Mengi ambaye alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP alifariki dunia Mei 2, 2019 na kuacha mke (Jacqueline Mengi) na watoto wanne ambao ni Regina, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi

View attachment 1365926

BAADHI YA MAONI YA WADAU:

View attachment 1365927
View attachment 1365928
View attachment 1365929
View attachment 1365930
View attachment 1365931
View attachment 1365932
Mniache kwanza bado nawaza ile buku mzee alisema apewe atakaeshinda ule wosia
 
Mkuu kutengwa na familia ni jambo la kawaida kwa mjane hapa bongo. Tena kama mjane alikuwa mke wa pili na alikuta marehemu ana mali na yeye alichoongezea kwenye hizo mali ni negligible. Lazima aisome namba. Hii kesi ni ya pili kuisikia ya kwanza ni kitaa. Tena hapa kitaa ilikuwa familia ya kawaida tu. Mjane aliambiwa na ndugu huku kitaa aondoke awaachie watoto wakubwa wa marehemu nyumba sababu ameikuta. bahati mjane wa kitaa alikuwa na uhusiano mzuri na watoto wakubwa wa marehemu wakamtetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu Kyline tayari ana watoto na Mengi, lazima familia ingemuheshimu na kumpa stahiki nzuri tu, kuna tatizo somewhere kwenye hii familia ambalo hatulijui.

Ukiangalia ndugu za Mengi kama Benjamin mdogo wake, ni watu wenye pesa kwelikweli. Hapa maskini ni Kyline tu. Kakuta familia ina hela kitambo, yeye kaokota embe kwenye muarobaini tu.

Mimi ningekua karibu yake ningemshauri aachane na mambo ya mahakamani, arudi kwa familia wayamalize tu. Naamini atapata mgao wa maana mno.

Aachane na mambo ya kuvuna asipopanda. Kutawanya asipokusanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebeca 83,

Duh

Intruder? Mama yako aliolewa bikra kwa baba yako? Au baba yako alikuwa bikra kwa mama yako?

What Love has to do with intrusion? We are all intruders in our lives....hata kuja tu duniani kuzaliwa ushakuwa intruder.Hauwezi ukakubali kuzaliwa kwenye population ya watu 7b na wewe unaongezeka...futa neno intruder unaondoa humanity.

Mengi na watoto wake walikuwa na ugomvi, watoto walimfungulia kesi baba yao for the past ten years....tena kesi nzito za baba kuona kama sio watoto wake

mengi aliishawapa wanae wakubwa kila kilicho chao na mke mkubwa!!

Kijana mkubwa wa mengi ni kamari sana, binti yake msagaji tu na alijua vyema

Jackline asingeweza kujenga mahusiano ya baba na wanae wakubwa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

I see.
Hata mimi niliwaza kuwa yawezekana hawa watoto hawakuwa na mahusiano mazuri na baba yao kabla ya kifo chake maana haiwezekani hivi hivi.
 
Basi mngemwambia mama yenu asiachane na baba yenu ili waendelee kuenjoy mali zao pamoja. Btw walipovunja ndoa yao si kila mtu aliondoka na mgao wake? So mlitaka mzee Mengi asioe tena after kuachana na mkewe au awaoe nyie ili mali zisiende mbali ?

Ooh kumbe hadi kwenu mnanyanyasaga wajane; no wonder unaombea na Jacky yampate. Too low

Nakuona Na*cy Sumari unavomtetea shoga yako!
 
Huu Uzi kiboko!

Ila nilichogundua Da Jacky hapendwi, kuanzia kwa Millard Ayo, Carrymastory, Mega, jf na msumari wa mwisho kwa Rachel Temu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu wanamuonea maskini mrembo mwenye asili ya Rwanda
Unfortunately au ndio vile hatujuia ya ndani nae hakutumia nafasi vizuri kujenga mahusiano mazuri na familia ya mumewe.

Watoto wakubwa nao wanakomaa sijui kama watakuwa na umoja na hawa wadogo Mungu aingilie kati.

Those moments before Mengi hajafa enzi za ugonjwa Wa Rodney, mzee mmoja aliwahi sema Bwana Mengi wanae wanaweza wasiendeleze ukoo hivyo anapaswa atafute mwanamke azae nae watoto wengine,so later akapata mnyarwanda wetu Jacqueline ambae sasa anaingia kikombe cha mateso dah!

Mungu awatengenezee harmony hii familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu tu wanamuonea maskini mrembo mwenye asili ya Rwanda
Unfortunately au ndio vile hatujuia ya ndani nae hakutumia nafasi vizuri kujenga mahusiano mazuri na familia ya mumewe.

Watoto wakubwa nao wanakomaa sijui kama watakuwa na umoja na hawa wadogo Mungu aingilie kati.

Those moments before Mengi hajafa enzi za ugonjwa Wa Rodney, mzee mmoja aliwahi sema Bwana Mengi wanae wanaweza wasiendeleze ukoo hivyo anapaswa atafute mwanamke azae nae watoto wengine,so later akapata mnyarwanda wetu Jacqueline ambae sasa anaingia kikombe cha mateso dah!

Mungu awatengenezee harmony hii familia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli mwisho wa siku Mungu aingilie wakati; amani itawale; waishi kwa umoja. Yanayotokea kwa hii familia ni ya kawaida kabisa ni vile familia nyingi tu hazijulikani so mambo hayafiki mtandaoni
 
Wazee Wa heshima wenye hekima na busara waitishe pande mbili za hii familia wakae nao wayamalize kifamilia kwa heshima ya Mzee Mengi.

Pande mbili hizi haziko na hali nzuri hivyo hekima na busara yapaswa kutumika kuwaweka kwenye harmony..
Haya mambo si mageni yapo familia nyingi ni vile status zinatofautiana tu

Mungu awasaidie tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom