Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Acha ukabila wewe pimbi wa kihaya,nenda kamtetee rugemalila mwizi wa pesa za escrow,huyo muhaya mwenzako hata aje na wanasheria wote wahaya hashindi hii kesi,jizi la mali za mengi limebaki kuropoka tu kua anaonewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana muda utaongea tuombe uhai... familia ya Mengi hawana grounds za kushinda hii case na hakuna sehemu wamesema wosia umeghushiwa bali wanapinga wao kupewa walicho pewa!

Mengi alishagawa mali kabla hajafa hakuna wa kubadilisha na hakuna atakaye mkomoa mwenzie kwenye hili na hatoshinda case!
 
Tofautisha wosia kuandikwa na Mengi na kusainiwa na Mengi...
 
Na ground waliyonayo ni kuthibitisha kuwa Mzee wakati anaandika wosia alikuwa ana matatizo ya akili au hakuwa timamu. Sasa jinsi ya kuthibitisha, Hapo patamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joseph1989,

Angefungua hata kiwanda cha Toilet paper angetoka Kimaisha

Alipewa billions of money mtaji, akaishia kula bata na wakina Nancy sumari hakufungua business ya maana

Wakina Nancy wamejenga kwa hela za Mengi
Nasikia Nancy life lilimchapa balaa, ndo huyo Jaq akawa anawasitiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jack awe na huruma haijalishi karithishwa au hajarithishwa km kweli anaamini kuna kufa na siku ya mwisho ipo basi aache tamaa aogope Mungu jamani Mali za mengi ni nyingi mnooo!anajipa mtihani tu was kiulimwengu na kwa Mungu!!aache tamaa za kutaka kuweka historia ya kua billionea was kwanza mwanamke bongo (na hichi ndo kinachomfurukuta )mpk anakua na tamaa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni usia wa mengi kwenye share zake!!!...
 
Mjini Kuna mtandao wa Madada fulani
Wao wakitka wamuweke dem mkali ili awe na mtu maarufu na mwenye pesa hawashindwi, ila mwanaume utanasa kama ukiwa kipangaaa
Tena mmoja wao ni former miss wilaya fulani!!!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amefoji wosia basi watakwenda kuthibitishia mahakama maana kusema tuu hakutoshi bali kuthibitisha pasi shaka!

Nikuhakikishie ni vigumu familia ya Mengi kushinda hii case hata kwa dawa!

Kuna sehemu nimelisema hili mwanzoni mwa huu uzi.. watu wakanipinga... k lyn ana mafasi kubwa sana kushinda hii case
 
ahsante kwa historia fupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…