Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Kabisaaaaa. Sababu kama wapo wanaoliwaga kweli na hao mapresidaa inakuwa kimya kimya na hata ikiliki basi inakuwa ati ati yaani haiwi hundred percent kwamba kweli kaliwa.

Sasa huyo mwenzangu na mie hapo hajaliwa tayari anatangaza nia na je ikitokea kaliwa si dunia nzima itajuwa kwamba lengo lake limetimia Prisidaa kapita.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] atuliage tu kwa kweli yana wenyewe hayoo.
Mneno mujarab kabisa hayo
 
Aende kwa mfalme Mswati awe Mke wa 37 na bado kila mwaka anaongeza mpya, labda atatulia
 
Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi.
Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadanga wengine.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama.

Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“.

Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kumuacha na Harmonize kuanza Mahusiano na sarah ambaye ana kipato kikubwa.

View attachment 848031

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kidogo hufikiria kidogo.... Ugwadu mbaya sana huwa unafanya mtu kuwa stressed.. huu ni wehu si akili za kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzie yule kichwani zimo kidogo.
Shule ipo tena ya fani inayoendana na kazi aliyopewa.

Mwenzie hana kashifa nyingi kama yeye.

Huyo angepewa U-kirasawe basi tungeona sextapes zake kibao. Alizidi kujirusha na watu ambao ambao sio classy. Wahitimu wa LY7 kama wahenga tulivyokuwa tunaita enzi hizo tunafundishwa na waalimu wa programme ya UPE.
Yeah kiufupi hana sifa, sometimes mwanamke akiwa na kichwa tulivu huwa inakuwaga advantage sana kwake kupata mema ya nchi!
 
Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo naona hamjamuelewa mwenzenu hata hana target na Jiwe. Yeye target yake ni rais wa nchi jirani ndio anamtaka.. nmesikia kashaweka ukaribu na familia ya presdaa hadi kumvalisha na kumdesignia nguo first lady..hana mpango na jiwe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom