Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume waliooa

Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume waliooa

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume kwa mapenzi yake motomoto
Screenshot_20170826-081247.png

Msanii wa bongo movie Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume
 
Huyo wolper ni malaya wa kawaida sana, hapo yupo kwenye tangazo la biashara yake ya kuuza uke. Movie hazilipi tena, na kuimba hawezi.

Tatizo lake ameshazeeka, hakuna kijana wa mjini maarufu anayetaka tena kuchukua ajuza kama yeye.
 
Ukiwa rejected una jaribu kutafuta attention. Inaelekea pengo la Harmonies halizibiki kirahisi hata ile interview aliyofanya na Millard Ayo ni attention seeking.
Mpaka leo hajapata experience ya kuchukua na kuacha? Kama mtu aliingia dini zote kwa sababu ya mapenzi na yakavunjika....bado anategemea jipya chini ya jua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napita tu jamani ila kwenye private parts suffer the most ndio paliponiita niandike chochote
 
The poor girl is getting to the Age wall.......Age Wall ni social term inayomaanisha ukomo wa rika fulani.
Sasa huyu amefikia ukomo wa rika la usichana na udada ambapo ndipo wasichana hujenga mazingira ya kuwa na miji yao au familia zao.....usichana hutumika kujaribu ujinga kama kujifunza kufanya mapenzi, kuwajua wanaume, kwenda na fashion, kudeal na hobbie zako, kucheza na hisia za wanaume /wavulana wanaokutaka kimapenzi na kimahusiano.

Usichana huwa unaanza kuanzia 16 hadi 24 on average, na kuanzia 25 hadi 29 on average ndipo umri wa udada huanzia na ni umri ambapo msichana huwa anajifunza namna ya kulea familia, kusimamia ama kutafuta mapato kwa maana ya finance, kuishi na mwanaume kama mume na si boyfriend na ndio muda ambao wanawake wengi hutaka kufanya sherehe ya harusi ingawa mi muda muafaka wa ndoa hivyo inawezekana hata mtu kuwa na mchumba amabaye wataweka malengo na akaolewa naye hata atakapofika umri wa 28 au 29 au hata 30 ili wawe na muda wa kufurahia maisha ya ndoa katika hali ya ujana.

Mara nyingi kwa msichana kama alitumia rika hili la usichana na udada kufanya ujinga kama wakina gigy money, shishi, wolper, wema, na wengineo tunaowafahamu huwa wanawakati mgumu sana wanapofikia Age Wall ya 30 maana huwa wanashtuka when its too late......inakuwa ngumu kupata maisha ya utulivu kama mwanamke wa kawaida anayeishi kistaarabu.

On average mwanamke anapofika Age wall ya 30+ akiwa hajajipanga huwa anakutana na alot of psychological contradiction......atajifanya yupo okay kwenye maneno but hamjui vita wanayopigana kichwani kwa mawazo ya kukwama na kufeli maisha ya kike duniani. Imagine kukosa mwanaume wa kutulia naye maana atakuwa amefika rika ambalo wanaume vijana wa size yake wengi wanafamilia zao na ambao wapo single ni vicheche balaa na hawana muelekeo mzuri wa maisha na ndio maana silaha yao ni kutafuta pesa ili wawatulize wanaume wa namna hii na ni kitu ambacho hakiwezekani maana mwanaume ambaye anamatatizo ya haiba kumshape katika utu uzima na amesha vurugwa akili inakuwa ni too late. Kimbilio huwa linakuwa ni kubemenda vibwana mdogo ambavyo hata havina moja wala mbili kuwa vinatumika kama tulizo la hisia kwa wanawake waliokwama maisha(ushahidi upo kila sehemu humo mitaani mnaona wanawake wa 30+ age wanagegedana na madogo ambao hawajafika hata 24 age......

Wengine wametoa ujauzito mara nyingi sana wakatika wa rika la usichana na udada hadi wamejikuta hawana uwezo tena wakushika ujauzito katika rika la umama (30+). Hii ni changamoto kubwa sana kwa maisha ya wa akina dada kwa kuendekeza fikra za kimagharibi na kusahau mila na desturi muhimu za jamii ya kiafrika ambazo ziliwaandaa na kuwashape na kuwalinda kwa majanga haya siku za utu uzima.....

Sasa huyu tayari kisha kwama anahaha pa kutokea na ukuta wa AGE wall huwa ni mrefu sana kupanda so kama hukujiandaa kuupanda lazima ukwame chini hapo wenzako wanakupita tu wanakwenda upande wa pili life inasonga......

Shida sana........



SONY Xperia Z5 Premium
 
Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume kwa mapenzi yake motomoto
View attachment 575174
Msanii wa bongo movie Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume
Kinadharia anajipa promo tuu hao ambao hawakuoa wakambokoa na kusepa kwa nn asingewapa hicho atakachowapa waume za watu?ila wadada wengi wa kichaga hawajui kukata mauno yaani kukata mauno km mnapiga kifo cha mende anakata mwili mzima km wale wacheza sumo pia mwanamke wa kichaga anakimbiwa maana huwezi kujua kiuno ni kipi na tumbo ni lipi.Kuna saa unajua unaingia kitu kimiani kumbe unaingiza kwny ile minyamanyama ya tumboni.....so atuache wanaume tulooa tunajua wapi tunapata matulizo bora zaidi ktk awamu hii ya 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom